Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Hakika hakukuwa na material kama sasaπtatzo enzi zenu mlikua mnasoma kwa tabuuπ
Hakika mkuu.sasa shule Zina walimu wa kutoshaMuamko wa elimu na nyenzo za kusomea zimekuwa nyingi sana na walimu wa Sasa wanajituma sana kufundisha
Kvp mkuuQuality vs quantity
Ajira which πππVijana wanasoma sana... serikali iwaandalie tu ajira