Baba Dorcas
Member
- Jan 15, 2012
- 83
- 5
Vp kwani post zimeshatoka?
hawana sifa hao
Chuo cha wachungaji watapangiwaje Islamic School jamani? ili wakauwe uislamu?wabadili vision yao kwanza maana wanasema they building the churh of God
ndugu wadau mlioko jikoni, naomba kuuliza ni kwa nini hamjawapangia vituo walimu waliomaliza shahada ya elimu katika chuo kikuu cha tumaini tawi la makumira? Nimejaribu kufungua files zote hakuna mwanachuo aliyemaliza makumira kapangiwa kituo. In short hakuna jina la makumira kwenye orodha ya vyuo. Kulikoni moevt pamoja na wizara ya ajira mna mpango gani na vijana hawa???? Au ni wenge langu la kutokujua kutumia mtandao?
Na Mkwawa je?hawana sifa hao
Duh lugha za watu hizi... dhambi ya udini imekufanya usahau hata kuandika vizuriChuo cha wachungaji watapangiwaje Islamic School jamani? ili wakauwe uislamu?wabadili vision yao kwanza maana wanasema they building the churh of God
Usitoke nje ya maada.Chuo cha wachungaji watapangiwaje Islamic School jamani? ili wakauwe uislamu?wabadili vision yao kwanza maana wanasema they building the churh of God