Serikali yetu haina mpango maalumu wa kutengeneza nafasi za ajira ingawa kuna wizara ya Kazi na Ajira.Kabla ya kujiunga na chuo hapa Tanzania ni vema mhusika akafanya japo utafiti kidogo ili kujua sekta zinazotoa ajira. Ajira binafsi ni ngumu kwa sababu mitaala yetu haiwaandai vijana wetu kujiajiri pia mitaji ni tatizo kwani mpaka uwe na hati ya nyumba, shamba, nk. Nchi hii ngumu ati!
hahaha bora nicheke,mwenzio nimemaliza diploma ya electonics & talecom engineering mwezi wa nne sasa kila sehemu ukienda kazi hamna sasa nampango wa kufanya kazi yeyote hata kuuza duka tu ntauza.ha ha ha ha hi ndo bongo ndugu
mi nilijua fani ya engineering ningepona kumbe nilipata tabu bure tu kusoma mambo magumu tu,dah ndo ishakula kwangu
Hebu nipeni sababu kuu zinazopelekea watu kusugua benchi hawana kazi wakimaliza chuo.
sababu kuu zinazopelekea watu kusugua bench nitazielezea kwa makundi kama ifuatavyo;
1.mfumo mpya wa kuajiri uliongia Tanzania,kwa mfumo huu wa KAMLETE umesababisha vijana wengi kumaliza chuo na kukaa nyumbani huku taaluma zao zikizidi kufifia,hili limekuwa jambo la kawaida sana.Kama hauna mtu wa kukushika mkono basi hapo inategemea na ukali wa nyota ila sio uwezo kabisa utakao kupa ajira.
2.kiwango cha ufaulu wa muhitimu,hapa naongelea GPA,mtu akiwa amepata GPA kubwa anakuwa na nafasi pana katika mchakato wa ajira maana anaweza kupata fursa hata ya kufundisha chuo na vipaumbele vingine vingi.Ila yule aliye pata gpa ya kawaida anakuwa katika hatari kubwa ya kukosa kazi.
3.Course aliyoisomea chuoni,hapa ndio kuna tatizo kubwa,unakuta mtu anachagua course pasipo kufanya tafiti za kutosha juu ya mahitaji ya hiyo course kwenye soko la ajira,kuna course zingine zinaitajiwa na makampuni machache tu na hayo makampuni ajira yanatoa finyu may be kwa mwaka post 2,na huyu muhitimu hana taaluma zingine.
Hitimisho ni kusomea fani zenye maitaji,kuongeza juhudi katika kusoma na la mwisho kujitahidi kujuana na watu maana hujui yupi atakusaidia.Nawasilisha.
Hivi kumbe watu huwa wanasoma ili waje kuajiriwa na wala siyo kutumia elimu yao kujiajiri wenyewe?
kumbe watu wanategemea Kikwete awatafutie ajira baada ya wao kumaliza chuo?
Hebu soma hii comment ya huyu mwenye Diploma hapa. Watu kama hawa nao pia wanalalamikia ugumu wa ajira?Wengi wao wanahitimu hawana mtaji so ataji ajiri kivipi?NDIO MAANA TUNATEGEMEA AJIRA ALAFU KUJIAJIRI NDO KUNAFWATA.sio kama hawajui hilo swala la kujiajiri.
hahaha bora nicheke,mwenzio nimemaliza diploma ya electonics & talecom engineering mwezi wa nne sasa kila sehemu ukienda kazi hamna sasa nampango wa kufanya kazi yeyote hata kuuza duka tu ntauza.ha ha ha ha hi ndo bongo ndugu
mi nilijua fani ya engineering ningepona kumbe nilipata tabu bure tu kusoma mambo magumu tu,dah ndo ishakula kwangu
Wengi wao wanahitimu hawana mtaji so ataji ajiri kivipi?NDIO MAANA TUNATEGEMEA AJIRA ALAFU KUJIAJIRI NDO KUNAFWATA.sio kama hawajui hilo swala la kujiajiri.
sababu kuu zinazopelekea watu kusugua bench nitazielezea kwa makundi kama ifuatavyo;
1.mfumo mpya wa kuajiri uliongia Tanzania,kwa mfumo huu wa KAMLETE umesababisha vijana wengi kumaliza chuo na kukaa nyumbani huku taaluma zao zikizidi kufifia,hili limekuwa jambo la kawaida sana.Kama hauna mtu wa kukushika mkono basi hapo inategemea na ukali wa nyota ila sio uwezo kabisa utakao kupa ajira.
2.kiwango cha ufaulu wa muhitimu,hapa naongelea GPA,mtu akiwa amepata GPA kubwa anakuwa na nafasi pana katika mchakato wa ajira maana anaweza kupata fursa hata ya kufundisha chuo na vipaumbele vingine vingi.Ila yule aliye pata gpa ya kawaida anakuwa katika hatari kubwa ya kukosa kazi.
3.Course aliyoisomea chuoni,hapa ndio kuna tatizo kubwa,unakuta mtu anachagua course pasipo kufanya tafiti za kutosha juu ya mahitaji ya hiyo course kwenye soko la ajira,kuna course zingine zinaitajiwa na makampuni machache tu na hayo makampuni ajira yanatoa finyu may be kwa mwaka post 2,na huyu muhitimu hana taaluma zingine.
Hitimisho ni kusomea fani zenye maitaji,kuongeza juhudi katika kusoma na la mwisho kujitahidi kujuana na watu maana hujui yupi atakusaidia.Nawasilisha.
unakuta mtu anasoma archeology,political sciance au co-operative,cjui huyo mtu anakuwa na mpango gan na maisha yake?
siku hizi kazi za kuajiliwa zinategemea mambo kadhaa kama haya:Hapo umenigusa maana mimi nipo Archaeology...nimeichagua kwa sababu kuu...nina mtu wa kunipa shavu, ninapenda mambo ya utalii, ninaipenda Archaeology, Ina wasomi wachache hapa Tanzania, Udsm wahitimu wa Archaeology hawazidi 50 kwa mwaka.
Hebu kuwa kama msomi.. Usikariri tu, wapo watu kibao wametoka...so unataka watu wasizisome? Kutoka inategemeana na bahati ya mtu. Kwani hakuna watu waliosoma B.Com, Engineering, Law, halafu wapo kitaa?
siku hizi kazi za kuajiliwa zinategemea mambo kadhaa kama haya:
1.bahati ya mtu.
2.ufaulu wa mtu.
3.uhitaji wa kozi uliyosoma.
4.kujuana.
zaidi ya hapo mkuu utasugua benchi sana mikuna ndugu yangu kamaliza degrii ya computer sayanyi ila bado yuko kitaa!