ZIKO WAPI HASIRA YA DUNIA?
Magaidi wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran wamefanya shambulio la kombora hatari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mfalme Khalid huko Riyadh, Saudi Arabia, siku ya Jumamosi.
Karibu watu 12 wasio na hatia waliuawa na zaidi ya 300 walijeruhiwa. Abiria na wafanyakazi wa uwanja wa ndege kutoka mataifa tofauti walikuwa miongoni mwa waathiriwa. Watu ambao walitaka tu kupanda ndege au kurudi nyumbani kwa familia zao.
Yako wapi maandamano makubwa? Wako wapi wanaharakati wanaodai kujali maisha yasiyo na hatia? Wakati wamezoea kulaumu Israeli tu suala likija Waislsmu kuuana wao kwa wao wako kimya. Utafikiri waliouliwa huko ni Panya tu!! Wao wanasubiri tu Israel ikiua Magaidi ya kiislamu utasikia maandamano kila kona!@@