Nawapa test kama ile test nabii Eliya aliyowapa manabii wa mungu wa uongo Baali. Waiteni kwenye makusanyiko yenu amputees( watu waliopoteza mikono au miguu) muwaombee warudishiwe viungo vyao. Si mnahubiri kwamba kwenye madhabahu zenu kwa jina la Yesu miujiza inatendeka??
Na si mnaalika watu kwa matangazo mengi waje kupata miujiza? Sasa mwaka huu alikeni na muweke wazi kwenye matangazo yenu kwamba amputees waje waombewe wapone. Si mnasema kwake yeye yote yanawezekana?
Sasa msemo huu uwe practical ili tuone mnamhubiri Yesu wa kweli. Otherwise ni kupumbaza akili za watu na kuwaibia pesa zao. Nawaachia hiyo test na ninasubiri matokeo.