Wahudumu channel kweli wanaunganisha watu na ajira?

Wahudumu channel kweli wanaunganisha watu na ajira?

Uwa zuri

Senior Member
Joined
Feb 24, 2023
Posts
104
Reaction score
177
Habari watu wa humu.

Nilikuwa nataka kujua hawa wanaojiita WAHUDUMU channel ni kweli wanaunganisha watu na ajira? Siyo matapeli?

Wananiambia ofisi zao zipo Manzese, kama Kuna mtu ashawahi kupata ajira kutoka kwao tafadhali naomba anieleweshe.
 
Back
Top Bottom