nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,014
- 1,903
Kuna tafiti imefanywa na shirika la afya duniani(WHO) linaonyesha kuna uwezekano itakapofikia 2030 watalaamu wa afya dunia watapungua Sana.
Kiukweli hata hapa Tanzania ninakubaliana ya kwamba watalaamu wa afya watapungua tu nje na uzalishaji kuonekana mkubwa Ila mahitaji ni makubwa pia maana population inaongezeka, wagonjwa ,hospitali Ila idadi ya wataalamu inapungua.
Leo hii watu wamesoma afya baada ya kuona serikali haijaweza kuajiri kwa muda mrefu wameamua kufanya mambo mengine tofauti na afya.