nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,014
- 1,903
Kusoma sio shida .Watu wataendelea kusoma kama kawaida maana Afya ni fani ya kipaombele
Mkuu, unafikiri shida ni kuinvest huko uliposema? Shida ni kwamba huko kwenye mataifa ya kwanza wataalamu wao watapungua, sasa wale waliokuwa-invested huku ulimwengu wa pili na tatu watakimbilia huko, kwa sababu ya malipo mazuri na mambo mengine.Kikubwa ni kuinvest na kuhimiza kwenye masomo ya sayansi.. Bila hivyo taifa litakua gumu sanaa 2030''
Bila kuwabana kwa maslai mazuri watakuwa wametwanga majiMkuu, unafikiri shida ni kuinvest huko uliposema? Shida ni kwamba huko kwenye mataifa ya kwanza wataalamu wao watapungua, sasa wale waliokuwa-invested huku ulimwengu wa pili na tatu watakimbilia huko, kwa sababu ya malipo mazuri na mambo mengine.
Mwanzoni mwaka huu, bunge la Nigeria lilikuwa na mpango wa kupitisha sheria itayowabana wataalam, hasa hasa wa afya, kutoweza kuondoka Nigeria, kimasomo au kikazi mpaka pale watakapo fanya kazi ndani ya nchi yao kwa muda wa miaka mitano mpaka kumi. Wanaita Brain drain.
Kati ya fani ambayo tech haitawaathiri moja wapo ni haoTechnolojia nayo inakuja kwa kasi inachukua nafasi zao
Kabisa mkuu. Hata ukiangalia hapa bongo, kuna zile program zilikuwa zinawalipa maC.O sio chini ya 2M per month.Bila kuwabana kwa maslai mazuri watakuwa wametwanga maji
Nigeria ipo mbali sanaa kielimu,sanaa,ata teknolojia ukilinganisha na Tanzania, sisi wa Tz elimu yetu bado haina muelekeo yan atajui tunaenda wapi, kila uongozi ukibadilika na elimu inabadilika Hii hufanya tusiweze kufikia viwango kama hivyo... Ndio maana Kila kijana wakisasa anataka awe mwanasiasa.. Maslahi ya wanasiasa nimakubwa kulinganisha na wafanyakazi wa umma.Mkuu, unafikiri shida ni kuinvest huko uliposema? Shida ni kwamba huko kwenye mataifa ya kwanza wataalamu wao watapungua, sasa wale waliokuwa-invested huku ulimwengu wa pili na tatu watakimbilia huko, kwa sababu ya malipo mazuri na mambo mengine.
Mwanzoni mwaka huu, bunge la Nigeria lilikuwa na mpango wa kupitisha sheria itayowabana wataalam, hasa hasa wa afya, kutoweza kuondoka Nigeria, kimasomo au kikazi mpaka pale !°