Nick J Vuitton Member Joined Oct 6, 2016 Posts 56 Reaction score 153 Aug 11, 2022 #1 Wahudum wa bar wanahitajika haraka umri miaka 18-30 awe na uzoefu na kazi tajwa msafi na mwenye kauli nzuri kwa wateja. Location Moshi Njia Panda. Kwa wahitaji piga 0685940663
Wahudum wa bar wanahitajika haraka umri miaka 18-30 awe na uzoefu na kazi tajwa msafi na mwenye kauli nzuri kwa wateja. Location Moshi Njia Panda. Kwa wahitaji piga 0685940663
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 28,259 Reaction score 41,416 Aug 12, 2022 #2 Nick J Vuitton said: Wahudum wa bar wanahitajika haraka umri miaka 18-30 awe na uzoefu na kazi tajwa msafi na mwenye kauli nzuri kwa wateja Location moshi njiapanda Kwa wahitaji piga 0685940663 Click to expand... Mshahara bei gani?
Nick J Vuitton said: Wahudum wa bar wanahitajika haraka umri miaka 18-30 awe na uzoefu na kazi tajwa msafi na mwenye kauli nzuri kwa wateja Location moshi njiapanda Kwa wahitaji piga 0685940663 Click to expand... Mshahara bei gani?
Nick J Vuitton Member Joined Oct 6, 2016 Posts 56 Reaction score 153 Aug 12, 2022 Thread starter #3 Maelewano ya boss na mfanyakazi
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Aug 12, 2022 #4 Kwa nini mwisho 30 hao wenye 35 wana shida gani?
Nick J Vuitton Member Joined Oct 6, 2016 Posts 56 Reaction score 153 Aug 12, 2022 Thread starter #5 Hawana shida uzoefu ndo kinachohitajika zaid na mwenye kauli nzuri kwa wateja hata kama yupo mkoa sio shida room ya wafanyakaz ipo
Hawana shida uzoefu ndo kinachohitajika zaid na mwenye kauli nzuri kwa wateja hata kama yupo mkoa sio shida room ya wafanyakaz ipo
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,666 Reaction score 7,788 Aug 13, 2022 #6 Jirani kuna vyumba vya fasta?