Wahujumu Uchumi, Wachochezi kushinda kesi, nini maana yake?

Mahweso

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
1,098
Reaction score
1,501
Tuanadanganywa, Tunapumbazwa, ama Wanasheria au mawakili wa Serikali hawajui Sheria.

Sina mengi napenda kujua hilo tu maana sielewi ni kitu gani kiko ndani yake,
 
Mkuu, kesi za jinai ni ngumu sana. Upande wa Mashtaka unapaswa kuthibitisha pasipo kuacha shaka yoyote. Hilo si jambo dogoMkuu. Hata rangi ya nguo tu yaweza kumweka mtu huru. Hatahivyo, wapo washtakiwa ambao kila iitwayo leo hukutwa na hatia na kuhukumiwa. Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka inafanya kazi kubwa na ngumu.
 
Mkuu na je gharama za usumbufu Mahakama huwa inamlimpa aliyesumbuliwa??
 
Mkuu na je gharama za usumbufu Mahakama huwa inamlimpa aliyesumbuliwa??
Mahakama haiulipi upande wowote wa kesi. Kama ni malipo huamriwa na mahakama au kusakwa mahakama nyingine kwa shauri linalojitegemea lakini linalotokana na lililohukumiwa.
 
Mahakama haiulipi upande wowote wa kesi. Kama ni malipo huamriwa na mahakama au kusakwa mahakama nyingine kwa shauri linalojitegemea lakini linalotokana na lililohukumiwa.
anhaa hapo nimekuelewa mkuu..shukrani
 
kama una DPP ambaye he is not applying his mind careful,unwise decision tumwiteje idoit or its too harsh?mie namwita unwise man;ni lazima aelewe kuwa ana majukumu makubwa impartial its a key here,hasa hizi kesi zinazo attract watu na press maana matokeo yake yana uzito mkubwa kwa ofisi yake,na sasa hii ofisi inageuka kuwa ni kichekesho kesi zote zinazokuwa in public anashindwa,shame on him
 
Matumizi duni ya sayansi, yanafanya uthibitishwaji wa tuhuma kuwa ngumu.
 
Pia, mawakili wa serikali wazembe. Chukulia kesi ya samaki, ilipaswa kuwa ya uhujumu uchumi kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…