jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Hayawi Hayawi yamekua sasa!
SGR imeanza kazi na inaenda kufunguka zaidi.
wapo baadhi ya Watanzania walishirikiana na majirani zetu kuhujumu mradi huu muhimu.
Wahujumu hawa walitumia mbinu zote ila imeshindikana.
bado wanaendelea na mbinu mbalimbali yaani kuonesha hata maeneo strategic inapopita SGR yaonekane hayafai ili kupunguza wateja.
wahuni hawa wanapanga mbinu ovu na chafu ili tu launching ya safari za SGR zionekane si lolote.
Ila niseme kudos kwa Serikali kwani naamini imeshawajua.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA