Wahukumiwa kifungo cha nje miezi sita kwa kufanyiana usaili ulioratibiwa na Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma

Hata hao jamaa mnaowaita maofisa ni matapeli tu....kwanza kuna uwezekano hao jamaa waliokamatwa walishindwa kufika dau la maofisa uchwara baada ya kukamatwa...wewe unadhani wangefika dau zuri hao maofisa uchwara wangewachoma?...takukuru kamateni na hao maofisa uchwara muwachunguze kuna ufirauni mwingi pamoja na ubazazi unafanyika kwenye hizo interview..
 
Daah hii taarifa yangu imefika Hadi huku,kweli dunia ndogo Sana, ni bahati mbaya Tu Ile ilinitokea.
 
Bahati yake amepelekwa shule siyo magereza kama zamani.
 
Waliohusika na kuvujisha mtihani wa TRA wa mwaka Jana walichukuliwa hatua gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…