Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Twende tu hakuna kisichokuwa na mwisho
Aliondoka mwamba in mysterious ways sembuse huyu? Muda utaongeaTwende tu hakuna kisichokuwa na mwisho
mama wa mafichoni!MIKUTANO YA CCM ILIKUWA INAJAA MPAKA POMONI , HII ILIKUWA DALILI YA WAZI KUWA , MAMA WA AFRICA KAMA ANAVYOJULIKANA HUKO DUNIANI DR SAMIA SULUHU HASSAN ANAKUBALIKA SANA
Kina Heche na Lissu wanadhani kauli mbiu za humu jukwaani zinaweza kuwatisha mamilioni ya wapenda haki huko mitaani.MIKUTANO YA CCM ILIKUWA INAJAA MPAKA POMONI , HII ILIKUWA DALILI YA WAZI KUWA , MAMA WA AFRICA KAMA ANAVYOJULIKANA HUKO DUNIANI DR SAMIA SULUHU HASSAN ANAKUBALIKA SANA
Serikali ya bei ya jioni haikuchaguliwa na wananchi ni serikali haramu , pamoja na kupewa ushindi na tume imejificha ndani haitaki kuonanana na wapiga kura wake milioni 31 .NAona CD yenu ya kuwa 'amefariki' haiuzi tena ee na Sasa mmeamua kuja na huu upuuzi mwingine?!! Serikali ya Sasa ni ya kisayansi mno, mburura huwezi kuelewa lakini ni serikali itakayoleta mafanikio kuliko zote zilizopita.........sihitaji kubishana na watoto wadogo, hao nawashauri wasubirie muda tu utakavyoongea.
Mwisho wa mwaka huu watu wanakula bata, muda wa kupumzika, ngoja ifike January utaona kazi ikiendelea kama kawaida.Serikali ya bei ya jioni haikuchaguliwa na wananchi ni serikali haramu , pamoja na kupewa ushindi na tume imejificha ndani haitaki kuonanana na wapiga kura wake milioni 31 .
Mtoto mdogo ataongea nini tena zaidi ya pumba kama hiyo?!!Serikali ya bei ya jioni haikuchaguliwa na wananchi ni serikali haramu , pamoja na kupewa ushindi na tume imejificha ndani haitaki kuonanana na wapiga kura wake milioni 31 .
Watamtoa siku ile inayoitwa Tume huru ya Jaji Chande itakapokwenda kumkabidhi ripoti ya kubumba ya kuifuta CHADEMA halafu ndipo ataikuta na hotuba roporopo aliyoandikiwa na yeye bila hata kutumia akili ataisoma huku ameshika kiuno na kumwaga shobo na taarabu za kizenji....Kwa Huu Utekaji na Mauaji yanayoendelea Nchini .
Lazima utakubaliana namm kwamba, Mauaji ya Raia Okt 29, yalikua yamepangwa tu yaan ilikua lazima Samia apachikwe Urais.
Akina nani hawa walioko nyuma ya huo Mpango?.
H POLEPOLE Alitutajia Wahuni, ambao Kwa Sasa Mkono wao wa Rushwa umetafuta Majeshi yetu yote.
Sasa wamemficha Samia, ni Kumpa taarifa za Uongo tu, Mama Nchi imechafuka, Tulia kwanza, Tulia tukusafishie Nchi, Tulia Kwanzaa, ili ulitaka kutoka ukute pako shwari.
Hili linathibtishwa NA HARAKATI ZA UTEKAJI NA MAUJI ZINAZOENDELEA.
Kuna Utekaji Mkubwa na Mauaji ya Raia mmoja Mmoja yanayoendelea Nchini kiasi ambacho Hata kabla ya Okt 29 , haikuwahi kushuhudiwa!!