Wahusika Katika shughuli nzima ya NECTA


Asante kwa kunikumbusha kuwa Kilinjiko iko Kilimanjaro, so nafikiri basi seminari zote za kiislam ziangalie Kilinjiko imewezaje kukwepa panga la Ndalichako kama kweli lipo! Kuhusu Quran tukufu inasema nini juu ya elim duni, ni kuwa Quran haikubagua elimu , Muhamad ( rehema za mwenyezi Mungu ziwe juu yake), alipokuwa anapewa utume kitu cha kwanza aliambiwa" IQRA" yaani "SOMA", hakuambiwa "SOMA QURAN" la hasha aliambiwa soma, na kwa tafsiri yake ni kuwa asome kila kitu kwa kilatini wanasema"DOCEBIT VOS OMNIA", na ndio maana nae aliwakumbusha waislamu kwa kuwaambia" Itafuteni Elimu hata kama ni Uchina", na ushahidi wa kuwa Waislam wa Mwanzo enzi za Muhamad walikuwa wasomi wazuri, angalia historia ya tiba hasa katika nchi za Hispania na Ulaya kwa ujumla wake, angalia pia Chuo Kikuu cha kwanza Afrika kilijengwa kule Ghana na mtawala wao aliye itwa Mansa Kankan Mussa, huyu alijenga chuo hiki baada ya kutoka kuhiji Makka na alijionea muamko wa elimu kule! ndio maana mimi nashangaa haya yanayoendelea hapa!
 

Mungu akubariki sana. Waje wasome hapa na wafunge mjadala. Uwe na usingizi wa amani leo. Nimefurahi sana kwa ufafanuzi huu.
 

Muulize huyo mtahiniwa katika karatasi ya kujibia hua anaambiwa ajaze DINI, JINA au NUMBER YA MTIHANI? Do not seek to justify your failures with igorant ways. Husomi utafeli, short and clear..........
 
acha hizo ww,aondolewe humu kwa kuongea ukweli?kwani amna waislam waliosoma?
 

huyo lazima atakuwa mmakonde
 


Ndalichako kama huwa unaingia humu....hii kansa (kiogopeni) ipo ndani yenu na msipoifanyia opereshen na kuiondoa itawatafuna.....
 
nimesoma na waislam sikuona tofauti kabisa na wao na kila mtu alikuwa anaheshimu imani yake ila humu Jf sijui nani analeta mambo ya kibaguzi kuhusu dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…