heshima kwenu wadau,
jamani, kuna hawa wajasiliamali wa kutoa huduma za ukunga wa kienyeji (waganga wa jadi) ambao wamefanya tabia siku hizi kwa kufanya marketing ya biashara zao kwa kubandika vibao vya matangazo katika nguzo (mistimu) ya TTCL na Tanesco kuanzia barabara kuu hadi vichochoroni... hii ni halali?? wahusika wanaliona hili?
Nawasilisha.