Handsome Rob
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 157
- 525
Wakuu habari.
Mwaka uliopita kuna rafiki yangu alikua anafanya kazi kwenye hospitali ya K's iliyopo jijini Mbeya, huyu jamaa alikua IT kwenye hospitali hyo akaja akafukuzwa kazi kwa sababu ambazo hazieleweki ila kwa kua alikua vzuri akaondoka bila kinyongo. Sasa wiki iliyopita nikakutana nae na kuanza kupiga stori mbili tatu kuhusu kazi zake ndo akawa ananipa story za hyo hospitali,
Jamaa anasema hakuna sehemu ambayo wafanyakaz wananyanyasika kama pale, inasemekana mmiliki wa hospitali hyo ambaye ni mwanamke anatukana sana wafanyakazi wake na muda mwingine hata mbele ya wagonjwa, kilichonifanya niandike uzi huu ni issue ya mishahara inasemekana wafanyakazi wengi wanalipwa mishahara iliyochini na inavyotakiwa na serikali, kingine ni kua mishahara inayoandikwa kwenye makaratasi ni tofauti na ambayo wafanyakazi wengi wanapokea. Yaani kwenye karatasi za ukaguzi zinaonesha wafanyakazi wanapokea misbahara mizur lakini kiuhalisia wanapokea below minimum wage.
Hili limekua tatizo sana kwenye sekta binafsi hasa hizi hospitali ambazo zinatumia mwanya huo kujiingizia faida kubwa na huku wafanyakazi wanateseka.
Kinachosbangaza ni kua hata salary slip znazoonesha malipo na makato ya kila mwezi hawatoi, hii sio haki kwani wafanyakaz wengi wanakua hawajui transaction zao hasa wale wa ngazi ya chini.
Naomba wahusika hasa kutoka serikalini wajaribu kuvhunguza suala hili la mishahara ya wafanyakazi hasa sekta binafsi znazotumia mianya kama hyo ya kulipa below minimum wage kujipatia faida, maana jamaa kaniambia madudu mengi sana yanayofanywa kwenye hospitali hyo ila lililoniuma ni hilo la matusi kwa wafanyakaz mbele ya wagonjwa na kulipa mishahara bila kufuata utaratibu.
Nawasilisha.