Daughter1994
Member
- Jan 12, 2021
- 11
- 18
Hellow, naombeni msaada wenu.
Nina shida kwenye namba yangu ya NIDA.
MAJINA yangu yalikosewa kwenye NIDA Jina la katikati likakaa mwisho na la mwisho likakaa katikati yakatofautiana na ya kwenye vyeti vyangu vya
taaluma
Nikafuatilia ofis za NIDA wilaya , nikaelekezwa cha kufanya nkafuata hatua zote mpaka kupewa deedpoll.
Lakini mpaka Sasa majina yangu hayajabadilika Kwa lolote kwenye no ya NIDA (Sina kitambulisho).
Nikifuatilia wilayani blah blah nyingi na nmetumia gharama nyingi kipindi nabadilisha haya majina na fedha Sina tena.
JF Kubwa naomba msaada najua humu tuna watu wa NIDA au wenye ndugu humo mnisaidie kubadilisha hayo majina ntakutumia viambatishi vyoote na malipo yote nliyokwishafanya.
Sihitaji nkujue maana wengine hawahitaji kujulikana yaani wewe nisaidie tu. Nipo Kilimanjaro Mimi.