Wahusika wanaliona hili???

Wahusika wanaliona hili???

cashmoney

Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
89
Reaction score
31
Wadau, kuna hawa waganga wa tiba za jadi (wa kienyeji) ambao wengi wao wanatoa huduma zinazofanana siku hizi ( kuvuta mpenzi, kazi, mvuto nk) wamekuwa wanabandika matangazo yao katika mistimu (nguzo) za Tanesco na TCCL takribani yote na sehemu zote hadi kero hadi kwenye barabara kuu, je wahusika wanajua? hii ni halali kwa hawa wafanyabiashara?

Nawasilisha.
 
na mbaya zaidi sidhani kama wanalipa kodi ya matangazo!!!serikali inakamua wafanyakazi lkn wafanya biashara kama hawa hawalipi kodi hata kidogo!!!masikini serikali yangu!
 
Back
Top Bottom