KERO Wahusika wanaosimamia Vyoo vya Stendi ya Ifakara hawajali usafi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Your browser is not able to display this video.
Hivyo ni vyoo vya Stendi hapa Ifakara na wananchi wanalipia na receipt juu lakini unaingia ndani unakuta hali kama hiyo hata usafi wa kumwaga maji ya sabuni hakuna.

Pia kama una hela kuazia jero wanakata 300, ila kama una 200 unaingia kwa hiyohiyo
​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…