T Tractor Member Joined May 23, 2019 Posts 81 Reaction score 110 Jun 21, 2019 #1 Mbwa wa miezi miwili wanauzwa. Wapo na afya njema wamebakia watano majike wote. Bei nafuu sana 15,000/=. Aina ya mbwa ni chotara German shephard na Afrikan dog. Mwenye uhitaji tuwasiliane nipo Dar Kimara.
Mbwa wa miezi miwili wanauzwa. Wapo na afya njema wamebakia watano majike wote. Bei nafuu sana 15,000/=. Aina ya mbwa ni chotara German shephard na Afrikan dog. Mwenye uhitaji tuwasiliane nipo Dar Kimara.
mackmambo Senior Member Joined Jul 7, 2018 Posts 106 Reaction score 65 Jun 21, 2019 #2 weka number yako mkuu
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,152 Reaction score 9,206 Jun 21, 2019 #3 Weka picha mkuu,nataka