Waimbaji nyimbo za injili wanakera sana


heshimu imani za wenzio.rc imekukosea nini?hizo ndio nyimbo zetu za kumtukuza Mungu hata ukitukana,,na ndio tuna masanamu.....so whay??
 
Wale ni wasanii tu kama wa bongo fleva ila wanatumia jina na Yesu na Mungu kujinufaisha.
 
Waimbaji wa nyimbo za injili mara nyingine huitwa wasanii wa nyimbo za injili. Msanii ili ahimili soko lazima awe mbunifu. Cha muhimu ni kipi kilichoujaza moyo wako maana kuna watu wanavaa HIJABU lakini wanajilipua kwa mabomu na kuua watu wasio na hatia.
 
heshimu imani za wenzio.rc imekukosea nini?hizo ndio nyimbo zetu za kumtukuza Mungu hata ukitukana,,na ndio tuna masanamu.....so whay??

NANI KATUKANA! HIVI KUMBE KWELI WATZ WENGI UPEO WETU BADO SN NDO MAANA TUNASHNDWA KUTOFAUTISHA TUSI NA KUKOSOLEWA, JE UNAWEZA KUNITANABAINISHA NI TUSI LPI NLILOTUKANA? hayo masanamu yatoeni makanisan bwana kwan n chukzo na laana mbele za MUNGU.
 
Kwann unataka kunilazimisha kuwa Wasabato ndo wanaimba vizuri wakati hata mimi hao Wasabato siwajui na wala nyimbo zao sijawahi zisikiliza....????

Kutulia ndo nini sasa...??

NAHISI WEWE NI PEPO, ndo maana wanadamu wamebakia kudanganywa na mijitu inayojiita mitume na manabii eti inatoa utajiri,gari,ada,kufuta kesi,kazi nk. sasa wanasahau kuwafundsha watu kuujua ufalme wa mbinguni,pia kutubu ili waingie mbnguni,na kuishi ktakatifu, wao wanawaambia kupata starehe za duniani tu.
 

Kuna wengine wanapiga ndombolo ya kufa mtu.
 
Usiangalie MAVAZI! Angalia mioyo yao! Maana mavazi hawatakwenda nayo mbinguni! suala la kibiashara zaidi! hivi mnataka wakale wapi? Ajira zenyewe ndio hz!

Yeah! tuangalie mioyo yao kama ilivyo kwa Flora Mbasha na Mumewe
 
Kuna mistari kwenye BIBLE ndio wanayoisimamia kwamba DAUDI alimwimbia MUNGU hadi nguo zikamvuka!! Binafsi siamini sana katika uimbaji wao

Basi kama ni hivyo waimbe uchi nitakuwa wa kwanza kuwahi show tena viti vya mbele.
 

"Nahisi wewe ni pepo"..........Kwanini unahisi....? Unajua madhara ya kuhisi hisi...???

Halafu ngoja nikwambie kitu; unajua mtu akisakosa hoja..(deductive reasoning) kete pekee aliyokuwa nayo ni kutukana na lugha za vitisho....Sasa nasikitika kukuambia kuwa "huna hoja"

Mimi Wasabato siwajui, sijui kama kuna watu wanaitwa Wakristo-wa-Kisabato....Wewe unataka kunilazisha....Why..???
 
NANI KATUKANA! HIVI KUMBE KWELI WATZ WENGI UPEO WETU BADO SN NDO MAANA TUNASHNDWA KUTOFAUTISHA TUSI NA KUKOSOLEWA, JE UNAWEZA KUNITANABAINISHA NI TUSI LPI NLILOTUKANA? hayo masanamu yatoeni makanisan bwana kwan n chukzo na laana mbele za MUNGU.

hatuyatoi na yakuangaze na kuteketeza roho yako ya shetani
 

kwanza kuna dini ya kisabato hapa duniani?
 
Wengi wao ni wasanii kabisa, tena wasiomjua Mungu kwa matendo yao ! Wasanii wa injili si watumishi wa Mungu kwa matendo.
 
Wasanii wa injili utawatambua kwa tabia,usemi, na mwenendo nk.
Wamefatisha namna ya dunia ya usanii nk ! [ROMANS 12:1-2]
 
Tuwaambie wasanii wa injili;watubie dhambi ya usanii (UNAFIKI) na waishi wanavyoimba kama watumishi wa Mungu. TUNAWAJUA!
 
Ukitaka kuzungumzia mavazi zungumzia mavazi, Nani alikuambia au ni wapi imeandikwa suruali ni nguo ya kiume?

We nan alikuambia sket ni ya kike?
Acha ubazoka maandko yanaeleza waziwazi kuwa nanukuu 'je maumbile yenu hayawafundishi?'
mfano mdogo juu ya andko hlo suruali imetengenezwa kwa stail ambayo hta mwanaume akihtaji kukojoa simple anavuta zip pemben pale anamwaga yake hata kama kuna mtu anapita ni vigumu kuona utupu vivyo hvo kwa mwanamke akiwa na sket nzur au gaun lake kulingana na maumbile yake akijisaidia aja ndogo hata kama yuko safarin kwe kuchmba dawa huezi ona utupu wake anakua kama kachuchumaa 2 kumbe anafanya yake
Achilia mbali hlo biblia ishazungumza katika Kumbukumbu la Torati 22 : 5 mwanamke asivae mavaz ya mwanaume na mwanaume vivyo hvo, kama ukiona biblia imeshatofautisha hvo bhasi ujue kuna mavazi ya kiume ambayo ni pamoja na suruali na mavazi ya kike ambayo ni sketi.
usitake kutuhalalishia hpa kua suruali haikuwekwa kwa wanaume tu, kwanini usijiulize mbna sketi ziliwekwa kwa wanawake tu? Vitu vingne unatakiwa kutumia akili kidogo tu ila kwasababu wanadamu tunapenda kufarijiana ndo maana tunakuja na mambo kuyahalalisha.
NOTE: suruali ni vazi la kiume tu na sketi ni vazi la kike tu
kama unafikiri kuna suruali za kike na kiume bhasi buni na sketi za kiume...
 
wanao vaa shungi na mahijabu mpaka misoksi ni watakatifu? acha argument za kijinga fanya research mavaz sio kipimo cha utakatifu hata kidogo.
 
wanao vaa hijabu na shungi na misoksi ni watakatifu? mavazi sio kipimo cha utakatifu hata kidogo
 
hope 1985. huna hata aibu sd ndo nini sijui. we unajiona umefika. Rc wamekukosea nini si uwaache na mambo yao huwa hamna kaz za kufanya ndo maana kwenye ibada zenu kaz kuhubir mashehebu ya watu kama si unafiki ni nn. by the way Rc huwa wanafanya mambo yao kwa utaratibu wao hawamuingilii mtu katika imani yake wewe wanakukera nini? thn hata ukisema wanaabudu sanamu hujui maana yake ndo maana unaishia kubwabwaja tu. thn mavaz ya kitamadun chek ulivyo libwege . wewe unadhan kutosuka nywele na kuishi maisha ya kimaskin ndo kufka mbingun? nakuimba umesimama kama umepigwa shot ya umeme na kuvaa masurual makubwa yenye marinda ndo kwenda mbingun? kufungua sabato na kuifunga wakat moyon umejaa unafiki ulopitilza ndo kwenda mbinguni? unapoandika kitu usipende kutoa reference kwenye din ya mwenzio huo ni upumbavu we kama unadhan yako iko right keep cool. nimekuona boya sana jinsi udini ulivyotawala mind yako pole sana kama huko kanisan kwenu huwa mnafundishwa kubaguwa watu na kutusi na kubeza dini za wenzenu na kujiona nyie ni wema kuliko wenzenu basi polen sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…