Tatizo ni kuwa kipindi hicho kulikuwapo na watu wanaleta dada yake au mama yake (wahamiaji) na kudai ni mchumba wake wa kufunga naye ndoa, na kumbe ilikuwa ni usanii tu. Ndio maana wabaguzi wa kiingereza wakaja na kautaratibu ka kuwachangulia mabinti ili kuhakiksha kama kweli ni "bonafide mchumba".
All in all, mhindi na mwingereza wakiwa wanagombana, kwangu mimi I just smile, kwa sababu wote hawanipendi mimi mwenye ngozi safi nyeusi yenye afya.