Waingereza Wachachamaa: £1,000 Deposit Needed,Tourist Visa Time 'Halved'!

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Posts
6,402
Reaction score
1,273
Story from BBC NEWS

SteveD.
 
Nchi nayo ishajaa bwan huwezi kupanda disctrict line ila kuwaona wabongo na masylum skeers wengine walivyofundana mle

nchi ishajaa na si lazima watu wake uje, wanaweza kwenda Australia au Canada au USA
 
Si wameruhusu wao wenyewe Ma east yuropians?! walitegemea nini... isitoshe, wakati wao wana kata mbuga kwenda australia, canada, na kwingineko duniani miaka 120 iliyopita kuna mtu aliwazuia.... kisingizio najua kitakuwa.... ooh, dunia imebadilika na kumekuwa na ongezeko la watu kubwa... sasa hawa immigrants sasa hivi huko uingereza si nao baada ya miaka kama 90 wanaweza kudai ni wazawa wa huko uingereza kwa walau vizazi viwili... kama vile tu wao wanavyo fanyiza kule canada na australia, falklands n.k.

SteveD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…