Waingereza Wadai Prince William anakaa kama dalali

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Waingereza wengi wanadai mrithi wa kiti Cha ufalme mfalme mtarajiwa kama Baba Yake king Charles akifa, prince William anafanana Kama real estate agent Yani dalali.


Muonekano wake umekaa kushoto kishambashamba na kicomunisti ukilinganisha ye ni mfalme mtarajiwa.

Hii inatokana na muonekano wake wa nje physical appearance. Vaa Yake na kujiachiaachia.

Japo anasifika Kwa kauli ya amri na utawala authority ila Mimi simkubali kwasababu ni Kati ya wanafamilia katika familia ya kifalme uingereza waliomuonea Meghan markle mke wa mdogo wake, prince Harry na kumpa wakati mgumu.

Namkubali Sana Harry kuliko huyu dalali.

Senior JA Royal expert

Black Sniper


Nyau de adriz
 
Ufalme ulishajifia alipoondoka yule malkia , kwa sasa ni heshima tu
 
Sasa hapo kavaa kishamba!
 
Daaah! Unaishi sehemu gani hapo England?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…