Waingereza wamesaka ushindi na wameukosa

Man u ndio mwakilishi pekee wa uk katika mashindano hayo ambaye hufika mbali.Mi sishangai hivo vilabu pendwa kuishia njiani hata malkia havimsononeshi.
 
Man u ndio mwakilishi pekee wa uk katika mashindano hayo ambaye hufika mbali.Mi sishangai hivo vilabu pendwa kuishia njiani hata malkia havimsononeshi.

Acha kuringa wewe, Ferguson keshaondoka Man U, kazi ya Ferguson haifanani na ya Van Gaal, kila mmoja ana mbinu yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…