Waiochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 211

tumain ernest

Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
26
Reaction score
8
Jamani naombeni mnisaidie hivi lini watatangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2011? Maana nimesubiri hadi nimechoka.naombeni msaada wenu
 
Shusha kwenye jukwaa hili utapata jibu kuna mtu ameuliza swali kama lako amepewa majibu yatakusaidia.
 
nashindwa kukuelewa maana ya kushusha kwenye jukwaa hili tafadhali nielezee vizuri! ndugu yangu ndume kwa kuzingatia hili ni swala la wengi sana.
 
Jamani naombeni mnisaidie hivi lini watatangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2011? Maana nimesubiri hadi nimechoka.naombeni msaada wenu

Km umefanya vizuri F4 wasiwasi wa nini? Wakimaliza kupanga,yatatangazwa tu,hata iwe mwezi june,na utapangiwa pa kwenda.Km una C mbili tu,usisubiri matokeo we tafuta ya tatu ili uweze kwenda private school.
 
Jamani naombeni mnisaidie hivi lini watatangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2011? Maana nimesubiri hadi nimechoka.naombeni msaada wenu

uwe unachungulia mara kwa mara hapa www.moe.go.tz
 
Back
Top Bottom