waisilamu acheni kulalamikia wakristo katika elimu... pelekeni watoto wenu shule jamani!!!

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
waisilamu pelekeni watoto wenu shule wapate elimu bora, acheni kuwalalamikia ndugu zenu wakristo na kudai kuwa wanapendelewa! hamna upendeleo katika elimu jamani!!! hii ni jitihada za kuaandaa taifa bora!

huu ni ujumbe wa mufti idd simba, kupitia magazeti leo!

wala sio mimi Excel!
 
Kauli ya haki yenye mwelekeo/makusudio ya baatwili.
 
Hawa Jamaa Hawa hawaelewagi hata usemeje. Wao muda wote wanawafikiria wakristo na makanisa km Quran inavowafundisha...
 
Ukweli wakitambua umuhimu wa watoto wao kuwasomesha na pia wakijua uzazi wa mpango watafanikiwa sana na wataachana na kulalamika maana Kama una taaruma kichwani mwako jamii itakuhitaji tu
Sidhani kwa kusoma elimu ya dini utataka uajiriwe na serikali utaishia tu kulalamika
 
Yeah that's true, wamekua wakiwasisitiza watoto waende madrasa na kuwapandikiza chuki. Hope wakifunguka akili zao na kuwapeleka watoto should taifa litaendelea. Mcweke udini na elimu. That's it. Nilikua napita tu jaman!!!!!
 

hakuna asiyetambua umuhimu wa kusomesha watoto,,TAALUMA huwezi kuipata wakati hukujengewa mazingira mazuri ya kuipata;Allah awajalie viongozi wetu watende haki.
 
Reactions: HMS
Dunia ya sasa kama hutampa mwanao urithi wa elimu ujue hujafanya lolote kuna kauli baadhi ya waislamu husema kila mtoto anakuja na liziki yake ni sawa lakini katika maudhui gani nawasihi waislam kukata mzizi wa fitna somesheni watoto wenu msiwafanye wanawake kuwa hawastahili kupata elimu kwamba wao ni wa kuolewa tu pia ukiwa na watoto watatu ukahakikisha wanafika chuo kikuu utakuwa umewasaidia kwa nmna fulani hatakama hawataajiriwa na serikali watakuwa katika sekta binafsi... Utawafanya waishi maisha mazuri yasiyo na manung'uniko yoyote.
 
Kulalamika ndo jadi Yao!

Alafu wabishi sana. Imagine kuna shule jirani yetu wanawafundisha watoto komfuu nikamuuliza mwalimu wao kulikon eti akasema wanawafunza kujihami. Mh jamani pelekeni watoto kwe nursery skul za kawaida.
 
Alafu wabishi sana. Imagine kuna shule jirani yetu wanawafundisha watoto komfuu nikamuuliza mwalimu wao kulikon eti akasema wanawafunza kujihami. Mh jamani pelekeni watoto kwe nursery skul za kawaida.


Hebu tafuta mfano mwingine wa kuelezea chuki yako dhidi yetu mkuu!!!!
Mbona kwingine wanafundishwa swimming! !!!!

Au ulitaka kuhusianshaje huo "ubishi" na vitu kama self defense,swimming,music class na hata skiing kwa nchi za baridi!!!!!!????
 
Acha pumba hizo unajua kilicho mtoa kigoma malima? Ngoja nikukumbushe alitoa majina akaweka namba nan alifanya vizur maneno yenu ya kijinga haya yatakuja kuwatokea puan
 
unakosea. Qur'an haifundishi hivo. na sidhani kama kuna dini au kitabu cha Mungu kinamfundisha mtu ubaya. uwe una uhakika kwanza na unachosema ndo uwasilishe kwa hapa. usishabikie kama haujui.
 

ujumbe mzuri sana.ni kweli kabisa hakuna .mahali duniani hapa ambapo elimu ya madrasa inaweza kukupa ajira unless otherwise.wakati watu wanang'ang'ana na shule wao wanakazana na madrasa.mwisho wa siku kwrnye soko la ajira nao wanataka waajiriwe.wakikosa wanabaki kulalamika na kuwalaumu wakristu
 
usiseme jambo usilolijua. mtu hawezi kulalamika tu bila kukumbwa na kikwazo, hii nchi ya amani, mtu anaponyimwa haki yake anaona busara ni kulalamika ili waskizwe shida zao, au unataka mtu ashike panga ili haki ipatikane? mi naona cha msingi watu wasikilizwe malalamiko yao, tukipata viongozi waadilifu haya yote hayatakuwepo. ni sawa sawa na vyama vya siasa, mfano chadema wanavolalamika bungeni kwa hoja za msingi, unataka kusema ndo jadi yao kulalamika au wanongea ukweli? chunguza na utajua ukweli kama wataka ukweli lakini, ila kama wataka kuendelea kua mmoja wa mashabiki, sawa tu, uhuru wako mwenyewe boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…