Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 540
Usiseme Waislam, sema CCM, maana sera ya udini ni mali ya CCM
Fikra na mawazo yao ni duni kama kuku aliyekatwa kichwa.
Wanacholalamikia ni hiki kifuatacho:-
1. Baraza linafelisha makusudi Waislam na shule zao.
2. Vitengo muhimu wapo Wakristo wakereketwa.
3. Wakuu wa shule Waislam wapinga matokeo.
4. Wataka iundwe tume kuchunguza matokeo 2012.
Kwa maelezo hayo hapo juu hivi tunajenga au tunabomoa?
Sidhani kama hawa Waislam wana malalamiko ya msingi kwenye hili. Waelewe adui wa Waislam ni wenyewe waislam.
Habari za kupikwa kama hizi hazileti tija kwenye Taifa la Tanzania hata siku moja. Habari haina facts hata kidogo.
What I think .There is . Anyway ..Inferiority complex. Mhariri na Mwandishi wa habari hii wana tatizo kubwa, sasa sijui kama wanaweza kutupatia ushahidi. Je, serikali iko wapi kwenye hili au inataka mpaka maafa yatokee.
Hili gazeti la AN-NUUR hata siku moja haliwezi kuandika maendeleo ya Waislam kwa faida ya wailsam wao kila siku kuandika habari za Wafuasi wa Mtume kuonewa sasa sijui wanaupeleka wapi Uislam.
Ingekuwa vema tungeacha kushabikia ujinga maana hata ukimpatia mtoto asiyejua kusoma na kuandika Division One kwa ajili ya kuwafurahisha akina Masheikh uchwara ambao wao kila siku kazi yao kulalamika tu pasipo na msingi. Je, tunakuwa tunatengeneza nini kama si bomu.
Waislam liangalieni hilo gazeti la An Nuur litakuja kuwagombanisha Waislam na watu wa Dini nyingine.
Yangu ni hayo tu.
hii singo yao itaexpire na paper ikija tena lazma wakalie..
Nani kafa? S.A.W au mwingine?
Tatizo waislam wanajihisi kuwa ni wadhaifu hapa dunian,
Sina uhakika kama waislamu wote wana mawazo duni kama hayo yalioandikwa katika hilo gazeti la udaku ambalo limevaa mwamvuli wa mtetezi wa uislamu. Haya yalioandikwa humo ni mawazo ya wapuuzi wachache na kama ndio msimamo wa waislamu wengi basi kazi ipo!!
Tunachoka now sasa!
kagazeti kenyewe kanaandikwa kienyeji sijui hata kama kina mhariri na waandishi wake kama wamesoma sana wameishia darasa la nne.hakina mpangilio wa uandishi ni malalamiko yasiona msingi kimejaa
kagazeti kenyewe kanaandikwa kienyeji sijui hata kama kina mhariri na waandishi wake kama wamesoma sana wameishia darasa la nne.Hakina mpangilio wa uandishi ni malalamiko yasiona msingi kimejaa
Haya ni mambo ya kitoto. Tangu juzi nimewaambia Pro-Manung'uniko sheria ipo wazi kwa mtu asiyeridhika na matokeo. Kama mtu anaona mtihani wake haukusahihishwa vyema ana haki ya kukata rufaa urudiwe kusahihishwa mbele ya mashahidi.
Vibabu vinavyocheza bao msikitini baada ya ibada vina muda kweli wa kuchungulia madaftari ya watoto wao au ni ujinga tu wa kuja kulalalama baada ya watoto kutaga?
Kama kweli mna hoja twendeni baraza tukasahihishe upya mitihani yenu, tuanze na wa Mwanaasha kudadadeki zenu kama hamkuumbuka.
mASKINI BAATI MBAYA ALIYEWALISISHA HULKA HIYO ALISHA KUFA.
AKILI NI MALI. DAH
usiseme waislam, sema ccm, maana sera ya udini ni mali ya ccm