Hawezi kula mdudu halafu akaswaliKuna wale wanaokula mbuzi katoliki ila wanaswali nao hao vipi! Maana nadhani kwao kula mdudu ni dhambi kuliko kuzini
Kwa mtazamo wakoHao number 2 ni wanafki sana na hawataiona hiyo pepo abadani
Kama huelewi utapata 0, wenzio wanaendelea. Hata dini hivyo, kama huufati subiri ufe upate 0 yakoSio kila anayefundishwa lazima aelewe ndio maana darasani kuna watu huwa hawaelewi lakin maisha huwa yanaenda kama kawaida
Ndio wanaopendwa sana na wasiokuwa waislamBora hao namba moja sio wanafiki kuliko hao namba mbili
Je wanaokunywa k vant, lager na visungura?Hawezi kula mdudu halafu akaswali
Swala inalataza maovu na machafuJe wanaokunywa k vant, lager na visungura?
1. Waislamu majina
Hawa hawaswali, hawafungi, wazinifu, wanashinda baa, wanafuga wanawake nk. Wanaitwa na wasiokuwa kwamba waislam safi . Wao wanaamini mtume Muhammad ndio mtume wao, lkn kumfuata kikamilifu hawamfati.
Wanaitwa Muhammad, Asha, Aisha, Muniz, nk. Katika dunia hii kundi hili ndilo linalopendwa zaidi na wasiokuwa waislam na western country.
Kundi hili masheikh ndio wanaopambana nao kwa kuwapa nasaha mbali mbali watoke kundi hilo waingie katika kundi la 2, jambo ni gumu sana kwa sasa
2. Waislam wenye kujitambua
Hawa wanaswali swala 5 na nguzo nyengine za uislam, wanapinga dhulma na kutaka haki, watoto wao wanawasomesha dini, wanapinga uzinifu na wanapenda dini yao, wanapinga ushogaa , wanawake wanajistiri.
Hawa wasiokuwa waislam wanawaitwa waislam siasa kali yaani hawafai kuwepo ktk jamii. Western country hawawataki waislam wa aina hii. Kubaki ktk kundi hili ni ngumu sna na inatakiwa dua kwa wingi kubaki ktk kundi mpaka unafariki
MSIMAMO WA UISLAMU
Uislam unataka muislam mwenye kujitambua na sio muislam jina. Kundi 2 ndilo kila muislam anatakiwa aingie
Waislam majina ndio wengi zaidi kuliko hao wengine, tunaishi nao mitaani tunawajua!.Ndio wanaopendwa sana na wasiokuwa waislam
sababu sio wanafiki, hao wanaojifanya Imani Kali sijui swalq tano nyuma ya pazia wengj tunajua maovu yaoNdio wanaopendwa sana na wasiokuwa waislam
Umelewa na hujitambuisababu sio wanafiki, hao wanaojifanya Imani Kali sijui swalq tano nyuma ya pazia wengj tunajua maovu yao