mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Mwenyezi-Mungu asema, “Mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wako; mimi ndimi niliyekutoa nchini Misri! Mimi nitakukalisha tena katika mahema, kama ufanyavyo sasa kwa siku chache tu, wakati wa sikukuu ya vibanda.Hakuna inapotofautiana labda useme ,imetofautiana nini na maana ni tofauti ?tuanzie hapo
Nimekwambia weka Hosea 12:9.ukaweka na Mimi ni kaweka ya kwangu.imekuwaje Kila biblia imeandika kivyake kama sio ni maneno ya watu?
Kwenye biblia ya kiebrania Kuna neno IDD?Yametofautiana kwenye kuweka Kwenye Lugha ya kiswahili.
Tungesoma biblia ya Kiebrania yangekuwa na maana hiyo hiyo.
Quran imeandikwa kwa Kiarabu.
Kuna maneno ukiyaleta kwa Kiswahili huwez pata tafsiri ya moja kwa moja.
Ingawa utapata mantiki na ujumbe.
Sasa kwakuwa imetafsiriwa kuja kiswahili haitoi uhalali wake.
Quran na Biblia zote zimeandikwa na watu.
Au unataka kusema Mungu anaongea Kiarabu?. 😂😂😂
Hosea 12:9 CPDVMwenyezi-Mungu asema, “Mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wako; mimi ndimi niliyekutoa nchini Misri! Mimi nitakukalisha tena katika mahema, kama ufanyavyo sasa kwa siku chache tu, wakati wa sikukuu ya vibanda.
BHN: Biblia Habari Njema
Na wewe weka ya kwako
Hayana MSAADA kwakoMtu anakuambia uislam ni dini ya juzi, hapo imepishana na ukristo miaka 500. Kuna dini za Budhha, Hindu, Zoroastrian na wengineo wakiabudu jua na mwezi wala hawasimangi watu na wala hawana vitabu na wanaishi simple mpaka leo huko wanagundua mapya sie tuna chokono chokonoa maandishi ya kizamani, hayana msaada wowote!
Sasa niambie waandishi wa biblia wametoa wapi neno IDI NA SIKUKUU YA VIBANDA?Hosea 12:9 CPDV
[9] And I, the Lord your God from the land of Egypt, nevertheless will cause you to dwell in tabernacles, just as during the days of the feast.
Hosea 12:9 (CPDV) - And I, the Lord your God from the l - Bible App
And I, the Lord your God from the land of Egypt, nevertheless will cause you to dwell in tabernacles, just as during the days of the feast.bible.com
Kwenye biblia ya kiebrania Kuna neno IDD?
Wakristo hawana time na uislamu maana umekuja wanauonaMtu anakuambia uislam ni dini ya juzi, hapo imepishana na ukristo miaka 500. Kuna dini za Budhha, Hindu, Zoroastrian na wengineo wakiabudu jua na mwezi wala hawasimangi watu na wala hawana vitabu na wanaishi simple mpaka leo huko wanagundua mapya sie tuna chokono chokonoa maandishi ya kizamani, hayana msaada wowote!
Haya turudi kwenye hyo aya mwisho DAYS OF THE FEAST maana yake nini Kwa kiswahili?Hosea 12:9 CPDV
[9] And I, the Lord your God from the land of Egypt, nevertheless will cause you to dwell in tabernacles, just as during the days of the feast.
Hosea 12:9 (CPDV) - And I, the Lord your God from the l - Bible App
And I, the Lord your God from the land of Egypt, nevertheless will cause you to dwell in tabernacles, just as during the days of the feast.bible.com
Ndo maana nasema BBLIA ni MANENO ya watu hapa ndipo HOJA YANGU ya msingi ipo.utakataa?Maneno ambayo hayana tafsir ya moja kwa moja kwa kiswahili hua yanatoholewa.
Its obvious Lipo.
Sasa niambie waandishi wa biblia wametoa wapi neno IDI NA SIKUKUU YA VIBANDA?
NA HAPO NDIPO HOJA YANGU KUWA BBLIA NI MANENO YA WATU WALIOAMUA KUICHEZEA UTAPINGA?
Mbona nimekwambia hapo juu ,neno iddi ni sikukuu Tena utalipata kwenye Biblia kiswahili cha kimvitaSasa niambie waandishi wa biblia wametoa wapi neno IDI NA SIKUKUU YA VIBANDA?
NA HAPO NDIPO HOJA YANGU KUWA BBLIA NI MANENO YA WATU WALIOAMUA KUICHEZEA UTAPINGA?
hauna time mbona kila wakati unaandika habari ya uislam, kwanini usiandikie dini yako kama unayoWakristo hawana time na uislamu maana umekuja wanauona
Halafu unadanganywaje uislamu upo kabla ya Muhammad na unaamini ti?
Ulishajiuliza why hakuna hata kipande cha karatasi,jiwe ,n.k hata jengo la msikiti kuwa paliwahi kuwepo kikundi cha dini ya Uislamu
“Days of the solemn feast” = Siku za Sikukuu Kuu, hasa zikihusiana na Sikukuu ya Vibanda/Hehema (Feast of Tabernacles / Sukkot), ambapo Waisraeli waliishi kwenye vibanda/hema kwa muda fulani wakikumbuka safari yao jangwani baada ya kutoka Misri.Haya turudi kwenye hyo aya mwisho DAYS OF THE FEAST maana yake nini Kwa kiswahili?
Ndo maana nasema BBLIA ni MANENO ya watu hapa ndipo HOJA YANGU ya msingi ipo.utakataa?
Biblia za kivita ni za Zamani kweli. Hivi bado zipo na zinapatikana madukani?Unajua biblia ilivyotafsriwa kwa kiswahili cha kimvita ,?
Je Unajua kiswahili kinakosa maneno kinakopa kwa kiarabu?
Uk Ina wabunge 25 waislam,madiwani 7,akiwemo Meya WA jiji la London ni mwislam.Ulaya gan unayosemea?.
Hii ya Greece. Malta. Spain. Italy .poland Romania. To name a few.
Naandika kuwasanua maana haiwezekan umeenda shule lakin unadanganywa uislamu ulikuwepo kabla ya Muhammadhauna time mbona kila wakati unaandika habari ya uislam, kwanini usiandikie dini yako kama unayo