Bado zipo ni za awali ,ndio Zina maneno mengi ya kiarabu kama Iddi ,MASHEIKH ,n.kBiblia za kivita ni za Zamani kweli. Hivi bado zipo na zinapatikana madukani?
🤣🤣🤣🤣.Mungu yupi?Quran sio maneno ya watu.
Imeshushwa.
Je Mungu anaongea Kiarabu?
Sawaa.point yangu inakuwaje biblia zinatofautiana kwenye tafsiri kama sio maneno ya watu?“Days of the solemn feast” = Siku za Sikukuu Kuu, hasa zikihusiana na Sikukuu ya Vibanda/Hehema (Feast of Tabernacles / Sukkot), ambapo Waisraeli waliishi kwenye vibanda/hema kwa muda fulani wakikumbuka safari yao jangwani baada ya kutoka Misri.
Kwa hiyo, “Days of the Feast” hapa maana yake ni:
Siku maalum za ibada na furaha za Israeli, ambazo zilihusiana na kukaa hemani kama kumbukumbu ya ukombozi wao kutoka Misri.
Point yangu ni kuwa biblia hatuwezi kuiamini sababu Kuna maneno yamefutwa na mengine yameongezwaWewe jamaa akili yako bhana ,kwahiyo unataka tafsiri za biblia zisemaje labda?
Je maana hapo imepotoshwa?
🤣🤣🤣🤣.Mungu yupi?
Ebu tuliza akili yako Kwanza.kuna biblia imeandika Idd na nyingine ilo neno HALIPO.AKINA NANI WALIOWEKA HIZO TAFSRI?suala sio lugha bali manenoKwahiyo kimasai na kihaya vinafanana ?
Hivi ndugu zangu ni kwamba tatizo shule au tatizo nini?
Lugha zote anajua .hapo ametumia kiarabu sababu ya Muhammad amtume wake alikuwa muarabu.Allah. Anaongea kiarabu?.
Maana yale maneno ni ya allah hajandika binadamu.
Lugha zote anajua .hapo ametumia kiarabu sababu ya Muhammad amtume wake alikuwa muarabu.
Pia Kwa zaburi ya daudi alitumia lugha ya daudi,taurati alitumia lugha ya Musa na injili alitumia lugha ya ISSA?
Kwamba ikiwekwa Iddi ,au Sikukuu., au day of feast , au festivalEbu tuliza akili yako Kwanza.kuna biblia imeandika Idd na nyingine ilo neno HALIPO.AKINA NANI WALIOWEKA HIZO TAFSRI?suala sio lugha bali maneno
Lete tafsir mbili za aya Moja ya Quran zilizofutwa au kuongezwa kama lilvyo hyo Hosea 12:9.Quran haijaandikwa na mtu si ndio?.
Kwamba imeshushwa jinsi ilivyo. Au?
Hujajibu hoja.Lete tafsir mbili za aya Moja ya Quran zilizofutwa au kuongezwa kama lilvyo hyo Hosea 12:9.
Unarudi pale pale kwenye HOJA YANGU kuwa biblia ni maneno ya watu.Kwamba ikiwekwa Iddi ,au Sikukuu., au day of feast , au festival
Ni wameondoa maneno ?
Ndugu Rudi shule ,kwa staili hii naelewa kwanini mnadanganywa
Mimi nimetoa kasoro ya aya Moja kuandikwa maneno wanayotaka waandishi wa biblia Kila mtu kaweka la kwake kwenye aya 1.sasa na wewe niwekee aya Moja ya Quran ambayo imefutwa au imeongezwa kwenye tafsiri.tukiacha lugha yake ya asili ambayo Quran yooooote imeandika Kwa kiarabuHujajibu hoja.
Je Quran imeshushwa au imeandikwa?.
Mimi nimetoa kasoro ya aya Moja kuandikwa maneno wanayotaka waandishi wa biblia Kila mtu kaweka la kwake kwenye aya 1.sasa na wewe niwekee aya Moja ya Quran ambayo imefutwa au imeongezwa kwenye tafsiri.tukiacha lugha yake ya asili ambayo Quran yooooote imeandika Kwa kiarabu
Ila wenzetu biblia imeandika Kwa lugha 3🤣🤣🤣
Wewe tatizo lako ni shule tuMimi nimetoa kasoro ya aya Moja kuandikwa maneno wanayotaka waandishi wa biblia Kila mtu kaweka la kwake kwenye aya 1.sasa na wewe niwekee aya Moja ya Quran ambayo imefutwa au imeongezwa kwenye tafsiri.tukiacha lugha yake ya asili ambayo Quran yooooote imeandika Kwa kiarabu
Ila wenzetu biblia imeandika Kwa lugha 3🤣🤣🤣
Sawa tuliache Hilo.Wewe tatizo lako ni shule tu
Unaumiza watu vichwa, unatia aibu
Najua kule umeshindwa ngoja sasa turudi huko unapotaka.Bro swal langu unaliona?.
Quran imeshushwa au imeandikwa na binadamu?
Ni rahisi sana kuthibitisha,ona Hawa wanavyoyumba,. Ni ngumu sana kuthibitisha kwamba dini Yako ni sahihi kuliko nying