Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Mtume pia akiwa na miaka 25 alioa mshangazi wa miaka 40.
Kisa mwanamke alikuwa na mali.
Kwa kipind cha sasa. Tungesema mtume ni marioo
JE, HIZI SIFA ZA AJABU ZA MUHAMMAD NI ZA KITUME?Hana hoja huyu,huko ulaya maksnisa yanageuzwa misikiti,na hakuna mihadhara ya biblia.
2021 ni miaka 4+ iliyopita waislam birmingham ni 32.2% wakati wakristo ni 32%Kwanza umesema Birmingham Waislamu ni wengi kuliko Wakristo. Ukweli ni kwamba takwimu za sensa ya 2021 zinaonyesha Wakristo ni 34% na Waislamu 29.9%. Hivyo Wakristo bado ni wengi.
Nchi zote hizo zina wakristo wakifanya ibada zao kwa uhuru,isipokua saud arabia ndiyo hakuna makanisaLakini sasa ngoja nikuulize maswali ya tafakari 👇
1. Kwa nini katika nchi nyingi za Kiislamu makanisa hayawezi kujengwa kwa uhuru, Biblia hairuhusiwi kuuzwa waziwazi, na Wakristo wanakabiliwa na mateso?
Mfano: Saudi Arabia, Afghanistan, Somalia, Iran, Yemen, Pakistan.
Ulaya hakuna nchi za kikristo,walishaachana na ukristo, makanisa yanageuka bar na casino,raia wengi hawajitambulishi kama wakristo2. Je, kama nchi za Kikristo za Ulaya zingefanya hivyo kwa Waislamu wakakataza misikiti, Qur’an, na adhana ungedai kuwa hiyo ni haki? Au ungedai ni ukandamizaji?
Kuna wakristo na makanisa nchi zote za waislam na kiislam,afrika kaskazini yote ina makanisa, Iran, syria, Jordan etc3. Angalia tofauti, Nchi za Kikristo za Ulaya (kama Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Uswisi, Usweden, Uholanzi) zimewapokea Waislamu kwa mamilioni, zimeruhusu kujenga misikiti mikubwa, kutoa Qur’an, kuvaa hijab, kufungua shule za Kiislamu, na kuhubiri imani zao kwa uhuru.
Swali, Huu ukaribisho na uvumilivu unapatikana wapi katika nchi za Kiislamu kwa Wakristo?
Kwa hiyo jiulize, ni ipi dini ya haki na inayofuata kweli za Mungu? Ile inayokataza uhuru wa imani na kuua wapinzani wake, au ile inayotoa uhuru wa kuamini na kuchagua bila kulazimishwa?
JE, HIZI SIFA ZA AJABU ZA MUHAMMAD NI ZA KITUME?Anajua sana,ila akikaa vijiwe vya pombe za kienyeji,akidanganywa,anadanganyika.Ulaya ukristo unekufa.
Ulaya hakuna nchi za kikristo,walishaachana na ukristo, makanisa yanageuka bar na casino,raia wengi hawajitambulishi kama wakristo
Muelimishe huyo aelewe Ulaya hakuna nchi ya Kikristo zaidi ya Vatican City na yenyewe ni kwa sababu ya Kanisa, ina watu 800 tu ambao ni Papa, Makadinali na Maaskofu na watawa wenye madaraka hapo, walinzi (Swiss guards na familia zao , hawazidi 400). WOte ni wakatoliki tu, na hakuna msikiti wala jengo la imani yoyote zaidi ya kanisa la St Peters. Nyingine labda Uingereza kwa kuwa Mfalme/Malkia ni head wa Anglican Church/Church of England lakini hazisemi kuwa ni Christian Country ila zina Christian majority kama ilivyo kwa Uislam nchi kama Indonesia zenye muslim population kubwa zaidi duniani2021 ni miaka 4+ iliyopita waislam birmingham ni 32.2% wakati wakristo ni 32%
Nchi zote hizo zina wakristo wakifanya ibada zao kwa uhuru,isipokua saud arabia ndiyo hakuna makanisa
Ulaya hakuna nchi za kikristo,walishaachana na ukristo, makanisa yanageuka bar na casino,raia wengi hawajitambulishi kama wakristo
Kuna wakristo na makanisa nchi zote za waislam na kiislam,afrika kaskazini yote ina makanisa, Iran, syria, Jordan etc
Greece kama turkey zinaitwa ulaya lakini si ulaya,huko greece liwati oyaoyaUlaya gan unayosemea?.
Hii ya Greece. Malta. Spain. Italy .poland Romania. To name a few.
Kuna wakristo na makanisa nchi zote za waislam na kiislam,afrika kaskazini yote ina makanisa, Iran, syria, Jordan etc
Kwanza kabisa, hujusema ukweli kuhusu Birmingham. Taarifa zako za “Waislamu 32.2% na Wakristo 32%” ni upotoshaji mkubwa, kwa sababu sensa rasmi ya Uingereza ya mwaka 2021 inaonyesha Wakristo bado wapo juu ,na Sensa nyingine Uingereza Hadi 2031 , Wewe hizo data unaokota wapi 😂😂2021 ni miaka 4+ iliyopita waislam birmingham ni 32.2% wakati wakristo ni 32%
Nchi zote hizo zina wakristo wakifanya ibada zao kwa uhuru,isipokua saud arabia ndiyo hakuna makanisa
Ulaya hakuna nchi za kikristo,walishaachana na ukristo, makanisa yanageuka bar na casino,raia wengi hawajitambulishi kama wakristo
Kuna wakristo na makanisa nchi zote za waislam na kiislam,afrika kaskazini yote ina makanisa, Iran, syria, Jordan etc
Muelimishe huyo aelewe Ulaya hakuna nchi ya Kikristo zaidi ya Vatican City na yenyewe ni kwa sababu ya Kanisa, ina watu 800 tu ambao ni Papa, Makadinali na Maaskofu na watawa wenye madaraka hapo, walinzi (Swiss guards na familia zao , hawazidi 400). WOte ni wakatoliki tu, na hakuna msikiti wala jengo la imani yoyote zaidi ya kanisa la St Peters. Nyingine labda Uingereza kwa kuwa Mfalme/Malkia ni head wa Anglican Church/Chruch of England lakini hazisemi kuwa ni Christian Country ila zina Christian majority kama ilivyo kwa Uislam nchi kama Indonesia zenye muslim population kubwa zaidi duniani
Nchi zilizojitambulisha kwa kufuata Uislam ni Saudi Arabia , Afghanistan na visiwa vya Maldives lakini watu wanatekeleza ibada zao hata kama hakuna majengo/rasmi
Kuna tofauti ya kuwa na Christian au Muslim majority na being Christian or Islamic country
Lakini sasa ngoja nikuulize maswali ya tafakari 👇
1. Kwa nini katika nchi nyingi za Kiislamu makanisa hayawezi kujengwa kwa uhuru, Biblia hairuhusiwi kuuzwa waziwazi, na Wakristo wanakabiliwa na mateso?
Mfano: Saudi Arabia, Afghanistan, Somalia, Iran, Yemen, Pakistan.
ACHA UPOTOSHAJI,DUNIA YA SASA SIO ILE MLIOKUWA MNADANGANYA WAKRISTO WASIOJUA MAANDIKO NA DUNIA ILIVYOKuna wakristo na makanisa nchi zote za waislam na kiislam,afrika kaskazini yote ina makanisa, Iran, syria, Jordan etc
Juzi mlileta habari wasomali wanamfuata yesu sana,tupe habari za Yemen kuua wakristoWala usiende mbali.
Somalia tu hapo. Ukiwa mkristo wanakuua mchana kweupe. Na serikal imebariki.
Yemen pia.
Juzi mlileta habari wasomali wanamfuata yesu sana,tupe habari za Yemen kuua wakristo
WAISLAMU hamjawahi kuwa na akili ,Muelimishe huyo aelewe Ulaya hakuna nchi ya Kikristo zaidi ya Vatican City na yenyewe ni kwa sababu ya Kanisa, ina watu 800 tu ambao ni Papa, Makadinali na Maaskofu na watawa wenye madaraka hapo, walinzi (Swiss guards na familia zao , hawazidi 400). WOte ni wakatoliki tu, na hakuna msikiti wala jengo la imani yoyote zaidi ya kanisa la St Peters. Nyingine labda Uingereza kwa kuwa Mfalme/Malkia ni head wa Anglican Church/Chruch of England lakini hazisemi kuwa ni Christian Country ila zina Christian majority kama ilivyo kwa Uislam nchi kama Indonesia zenye muslim population kubwa zaidi duniani
Nchi zilizojitambulisha kwa kufuata Uislam ni Saudi Arabia , Afghanistan na visiwa vya Maldives lakini watu wanatekeleza ibada zao hata kama hakuna majengo/rasmi
Kuna tofauti ya kuwa na Christian au Muslim majority na being Christian or Islamic country legally/constituionally au practically/socially
Alieishusha Quran ndie adui wetu hayo maneno yapo wapi ktk Quran nani aliyasema?adui wa shetani ni naniNyie hoja zenu zipo wapi zaidi ya kukimbia
Juzi nimekuuliza unipe ushahidi kuwa Uislamu ni dini ya shetani ukaingia mitini 🤣
Kwanza kabisa, hujusema ukweli kuhusu Birmingham. Taarifa zako za “Waislamu 32.2% na Wakristo 32%” ni upotoshaji mkubwa, kwa sababu sensa rasmi ya Uingereza ya mwaka 2021 inaonyesha Wakristo bado wapo juu ,na Sensa nyingine Uingereza Hadi 2031 , Wewe hizo data unaokota wapi 😂😂
Lini waislamu mtaacha uongo kutetea dini?? unatumia takwimu potofu kudanganya.
Pia, hoja zako kuhusu Ulaya na nchi za Kiislamu ni uongo mkubwa. Katika nchi nyingi za Kiislamu kama Saudi Arabia, Iran, Afghanistan, Pakistan, Somalia, Wakristo hawana uhuru wa kujenga makanisa, kuuza Biblia, au kufanya ibada ya hadharani. Kwa mfano:
Saudi Arabia: Hakuna makanisa rasmi kwa Wakristo, ibada ya Kikristo ni siri tu. (Open Doors, 2023)
Iran: Wakristo wa asili ya Kiirani wanakabiliwa na mateso na kufungwa gerezani kwa kuhubiri dini yao. (UK Gov Policy Note, 2022)
Afghanistan: Wakristo wanakutana kwa siri tu, kizuizi cha kisheria kinatishia maisha yao. (US State Dept, 2022)
Pakistan: Sheria za “blasphemy” zinatumika vibaya dhidi ya Wakristo, mara nyingi zikipelekea mashambulizi ya umati. (AP News, 2024)
Somalia: Wakristo wanakutana kwa faragha tu; ibada ya umma imekatazwa kabisa. (USCIRF, 2017)
Kinyume chake, nchi nyingi za Kikristo barani Ulaya (kama Uingereza, Ujerumani, Uholanzi, Usweden) zinawawezesha Waislamu kujenga misikiti, kufundisha Qur’an, kuvaa hijab, na kuadhimisha imani zao kwa uhuru.
Hii inaonyesha tofauti halisi ya uhuru wa dini na uvumilivu jambo ambalo huwezi kulipinga kwa hoja zako.
Kwa ufupi, ni wazi: data zako za Birmingham ni potofu, hoja zako za Ulaya ni uongo, na mfano wa nchi za Kiislamu unaonyesha wazi ukosefu wa haki na uhuru wa dini kwa Wakristo.
Kuna Uislam, Waislam, Wenye majina ya kiislam na waliozaliwa waislam. Interpretaion ipo tofauti. Historically Uislam uliachia dini uliozikuta katika maeneo yao na kuishi nao, Jews wa Madina, Mtume aliwakuta na hakuwafukuza. Caliphates zote kuanzia the Rashidun mpaka Ottomani zilibaki na kuishi nao kwa mikataba maalum na ndiyo maana hata maeneo ya Holy land kama Palestine, Christians, Jews na Muslims waliishi pamoja enzi za hizo .Hili ndio lilikuwa swali.
Uwongo haukufikishi kokoteACHA UPOTOSHAJI,DUNIA YA SASA SIO ILE MLIOKUWA MNADANGANYA WAKRISTO WASIOJUA MAANDIKO NA DUNIA ILIVYO
1️⃣ Afrika Kaskazini, Ni kweli kuna makanisa, lakini wengi wao ni ya kihistoria na kwa sehemu kubwa ni madogo. Miongoni mwa nchi kama Algeria, Libya, Mauritania, Sudan, na Morocco, Wakristo hawawezi kujenga makanisa mapya kwa uhuru. Hali ya kisheria mara nyingi inakataza ibada za umma za Wakristo na huweka vizuizi vingi.
2️⃣ Iran:
Makanisa ya Wakristo wakiwemo wa asili ya Kiarmenia na Assyria yapo, lakini Wakristo wa Kiairani wanakabiliwa na mateso, kifungo, na kizuizi cha uhubiri. Kuabudu hadharani au kueneza Biblia ni kinyume cha sheria. Mchungaji Youcef Nadarkhani alikamatwa na kuhukumiwa kifo kwa sababu ya kuhubiri dini ya Kikristo (baadaye hukumu ikabadilishwa).
3️⃣ Syria na Jordan:
Ni kweli kuna makanisa, lakini ni sehemu ndogo tu ya nchi, na Wakristo wanakabiliwa na changamoto za usalama, kimsingi kutokana na migogoro ya kisiasa na kidini. Hii si sawa na uhuru wa dini unaopatikana katika nchi nyingi za Ulaya, ambapo Waislamu wanaweza kujenga misikiti na kufundisha Qur’an bila vizuizi.
Umesema kila nchi ya Kiislamu ina makanisa na uhuru wa dini sawa na nchi za Kikristo hii ni uongo.
Ukweli ni kwamba katika nchi nyingi za Kiislamu, Wakristo hawana uhuru wa kuabudu, makanisa mapya hayawezi kujengwa, Biblia haiwezi kuuzwa kwa uhuru, na mateso ni ya kawaida
Crusades zilikuwa ni niniHili ndio lilikuwa swali.
Uislam unaenezwa kwa kulazimishwa na kwa Upanga.
Lete mbiliZiko habar nying tu Kuhusu houthi kuua wakristo.