Uislamu ni dini ya juzi tu, hapa Africa imekuja juzi tuLabda ukiristo Uislamu umeingia Mwambao wa Africa mashariki kabla ya kuja mreno . Vasco Da Gama alipofika Kilwa aliluta watu ni waislamu tena wenye maendeleo makubwa ktk Biashara.
Hao mauaji yao hayahusiani na Uislamu japokuwa wao wanahusianishaNa Jihad ilikuwa nini?.
Hapo Nigeria kila mwaka Boko Haram wanafanya fujo zao.
ISIS je?
Tusiende nchi za mbali.
Kibiti je?
Kund la Masheikh wa Uamsho hapo Znz.
Kwann wanatumia nguvu namna hii kueneza Uislam wao na kuua na kuwatesa wakristo?.
Kujenga kwa uhuru ndiyo kukoje!?..Kuna makanisa,kanisa linahitaji biblia, of course zipo,nimeweka picha waumini wakifanya ibada kanisani, waumini hawawezi kosa biblia,yaani nchi iruhusu ujenzi wa makanisa izuwie biblia,muwe mnatumia akili kidogoHajasema hakuna Makanisa.
Amesema kwanini makanisa hayajengwi kwa uhuru na kuna sheria kali za kuuza Biblia na wakristo hawaabudu kwa uhuru.
Ndio hoja yake.
Hao mauaji yao hayahusiani na Uislamu japokuwa wao wanahusianisha
Kujenga kwa uhuru ndiyo kukoje!?..Kuna makanisa,kanisa linahitaji biblia, of course zipo,nimeweka picha waumini wakifanya ibada kanisani, waumini hawawezi kosa biblia,yaani nchi iruhusu ujenzi wa makanisa izuwie biblia,muwe mnatumia akili kidogo
πππ Anaokotaokota tu vitabuWewe jamaa unajiona una hoja sana , eti utumie kitabu cha mkweli mwaminifu kuukosoa uislamu. U cant be seriuos.
Vipi harakati za Pastor Tony ni katika mafundisho ya ukristo au?Umesema?.
Masheikh wa Uamsho kwamba sio kwaajili ya kuunda Islamic state?.
Na Wale wa Kibiti pia?.
Unakumbuka vizur lengo lao?.
Wale waliikataa CCM na CUF. W
Masheik wale walitaka Znz itawaliwe na Sharia.
Utasemaje havihusian na Uislam
Sasa nchi ya mamilioni ya watu pawe na waumini 40k na wengi wageni,unategemea pawe na makanisa kila siku!?..fikiriMfano Yemen.
Kuna makanisa manne tu.
Na yamejengwa zaman.
Wakristo wachache. (Weng foreigners) wanaogopa hata kuingia kanisan. Inabidi wakusanyike nyumban kwa msharika mmoja na kusali.
Pia wanafuatiliwa kwa ukaribu . Na kudaiwa ni washirika na watu wa magharibi.
Kwahiyo Hakuna kanisa jipya. Hakuna uhuru wa kuabudu. Na ofcoz Biblia inabididi uende nayo. Duka gan utanunua?
Vipi harakati za Pastor Tony ni katika mafundisho ya ukristo au?
Kwa kununua na kubadilisha matumizi baada ya kukosa waumini ili jengo liendelee kutumika. Hasa UK , Germany na Ufaransa , Uholanzi na baadhi ya states US kama Michigan na Minnesota. Kuongezeka kwa population za Waislam na kupungua kwa wakristo aidha kwa uhamiaji na sababu nyenginezo. Makanisa maarufu kama Haggia Sophia, Al Aqsa na Cordoba ni ya kihistoria zaidikanisa unaligeuzaje kuwa msikiti?.
Sasa nchi ya mamilioni ya watu pawe na waumini 40k na wengi wageni,unategemea pawe na makanisa kila siku!?..fikiri
Ndio maana nikasema hao hawahusiani na Uislamu ingawa wanajinasibishaPastor Tony ni kama Sheikh kipoozeo.πππππ .
Anyway tusiende huko.
Haya twende.NIAMBIE YESU ALIKUWA DINI GANI?
Wale wa uamsho ni waislam bro.Ndio maana nikasema hao hawahusiani na Uislamu ingawa wanajinasibisha
HapanaHivi sio ww kuna siku uliuliza hili swali?.
Na nikakujibu?.
Nikumbushe kama ni ww au lah
Haya twende.NIAMBIE YESU ALIKUWA DINI GANI?
Basi Yesu alikuwa Myahudi.Hapana
sasa ukristo unatokea wapi?Basi Yesu alikuwa Myahudi.
Kwa dini na Kabila.
Alizaliwa kwenye uyahudi na Akafuata taratibu za Dini ya Kiyahud.
Uislam haujapinga wale waliopokea kitabu kabla yake, wametajwa kama Ahlul Kitab ambavyo ni Torati na Zaburi kwa Wayahudi na Injili kwa Manasara (An nasarry au wafuasi wa Nazareth) . Quran imekuja mwishoni wa vyote hivyo. Context inatofautiana, na wewe una fahamu hiloKumbe unakubali Uislamu umekuja umekuta Kuna dini za watu