mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Sasa hapo mna muhusisha vipi yesu na ukristo ikiwa hakuwa mkristo?Naomba nikujibu, ila usinipopoe tu😅
Yesu hakuwa na dini kama tunavyozijua leo (Kikristo, Kiislamu, nk). Yesu alizaliwa na kulelewa kama Myahudi na alifuata imani na desturi za Kiyahudi. Alisali kwenye masinagogi, alishika Sabato, na kuheshimu Sheria ya Musa (Torati).
Kwa hivyo, mafundisho yake yalileta mwelekeo mpya wa kiroho ulioweka msingi wa Ukristo baada ya kufufuka kwake.
Kwa kifupi tu Yesu alikuwa Myahudi kwa dini, lakini mafundisho yake yalizaa Ukristo.
Na biblia inasema lifunguliwalo duniani na mbinguni limefunguliwa!😁
Sasa hapo mna muhusisha vipi yesu na ukristo ikiwa hakuwa mkristo?
likuwa ni mwandishi wa injili ya YesuPia WAKRISTO naomba Mniambie LUKA NI NANI KATIKA BIBLIA?
Mnasema wakristo mnamfuata yesu .je mafundisho yake mnayafuata huko kanisani,?uko sahihi na Yesu hakuwahi kujiita Mkristo, hilo neno Mkristo lilikuja baadaye kabisaa… na Kwa mara ya kwanza, wanafunzi wa Yesu waliitwa Wakristo huko Antiokia ukisoma katika (Matendo 11:26), miaka kadhaa baada ya kifo na ufufuko wa Yesu. Hii ilikuwa kama njia ya kuwatofautisha wafuasi wake na Wayahudi wengine., nadhani ukiwa msomaji mzuri wa biblia utayaoata mengi huko
Kwa hiyo, Ukristo ni harakati au njia ya maisha iliyoanzishwa na Yesu,lakini jina Ukristo lilitolewa baada ya yeye kuondoka duniani. Ni wafuasi wake waliomfuata wakaitwa Wakristo kwa sababu waliishi kama Kristo kwa kuyafata matendo yake na kumkubali kuwa Beana namwokozi wa maisha yao, hivyo neno ukristo kwetu ni utambulisho wa kututifautishwa na wasiomuamini, ndio maana ata nyinyi hamjakosa jina la kutuita mnatuita hawa wakristo wajinga e.t.c
All in all Yesu hakuwa Mkristo, alikuwa Myahudi, Ukristo ulianzia kwake kupitia mafundisho, kifo na ufufuo wake.
Wakristo ni wale wanaoishi kwa mafundisho ya Yesu Kristo.
Kwa hiyo, kumuhusisha Yesu na Ukristo si kwa sababu alikua Mkristo, bali kwa sababu yeye ndiye msingi wa Ukristo.
Hope i made it clear😊
Nikisema biblia ni story za watu wametunga utakataa,?A
likuwa ni mwandishi wa injili ya Yesu
Hata Pastor Tony na harakati zake pia zitakuwa zinahusiana na ukristo?Wale wa uamsho ni waislam bro.
Kuna Imam kabisa alikuwepo kwenye list ya waliokamatwa.
Na lengo ni kuunda Taifa la Kiislam.
Hivyo vinahusiana na Uislam
Labda ukiristo Uislamu umeingia Mwambao wa Africa mashariki kabla ya kuja mreno . Vasco Da Gama alipofika Kilwa aliluta watu ni waislamu tena wenye maendeleo makubwa ktk Biashara.
Nafikiri nilikuwa ni mimi ambapo wewe na mwenzio kuna mmoja alisema ni myahudi na mwingine akasema hakuwa na diniHivi sio ww kuna siku uliuliza hili swali?.
Na nikakujibu?.
Nikumbushe kama ni ww au lah
Nilisema tangu awali kwamba saudia hawaruhusu ujenzi wa makanisa
Nyi nyi mlikomaa Iran, Pakistan Algeria Morocco Yemen Sudan hakuna makanisa
Nikisema biblia ni story za watu wametunga utakataa,?
hii ni ad hominem logical fallacy na hapo unataka watu wawe wavumilivuWAISLAMU hamjawahi kuwa na akili
Nafikiri nilikuwa ni mimi ambapo wewe na mwenzio kuna mmoja alisema ni myahudi na mwingine akasema hakuwa na dini
Niwekee Hosea 12:9Nakataa.
Kuna ushahidi mwing sana nje ya Biblia ambao yanaonyesha Mazingira yanayosadiki hizo story za biblia.
Kisayansi au ecologia. Mabaki ya vipande vyenye lugha ya kiebrania(mabaki kwenye bahar ya chumvi).
Kiuchunguzi pia wale wafalme waliokuwa wanatajwa kuna mabaki yao. Hasa Pilato.
Pia Sehem ambazo matukio ya agano Jipya yamefanyika yako hadi leo.
Mfano ukuta wa Yerusalem, golgota etc
Kwahiyo ni kitu ambacho kilitokea kweli na sio Story tu.
Hosea 12:9Niwekee Hosea 12:9
hamis77 Mskie Xi kwanzao
Hilo sanamu na mengine ni ya Waroman ambao ndio waanzilishi wa uislamu na wanaoabudu jiwe jeusi na kulibusuhii ni ad hominem logical fallacy na hapo unataka watu wawe wavumilivu
Just a reminder, Hakuna shule ya matusi lakini hakuna asiyejua kutukana!
Nikikuuliza wewe mwenye akili , Je lile sanamu la mzungu linalovaa nepi na unalitundika msalabani majumbani na sehemu za ibada ndiyo mungu unayemuamini?