Waislamu, na wasiokuwa waislamu πŸ‘‡


Hii taarifa sio sahihi kabisa.
 

Alieanza ni nani?. Niliumia kuona watoto wa kipalestina wakilia na kulalamika kuwa hawana kosa. Nikawalani Hamas kwa ujinga waliofanya.
 
Naomba usirudie tena kuniletea hizi habari,,, nitasimama na wapalestina upende usipende, hata kama sikujaaliwa kwenda kusaidia nitaendelea kuwaombea dua in shaa Allah

Nadhani umenielewa ewe mchungaji

Kweli unahuzunisha, unasimama na wapalestina ambao wameteka raia wawili wa Tanzania.
 
Mkuu kichapo cha gaza kimekolea nini???
Si walikua wanashangilia October 07
🀣🀣🀣

Kwa Sasa IDF wameigawnya Gaza mara mbili. Gaza Kaskazini na Gaza Kusini. Gaza kusini itakuwa na military base ya Israel.

Nadhani mpaka Ijumaa ile stronghold ya Hamas itakuwa imefutwa kabisa na IDF.
 
Kwahiyo kuwasapoti kwetu wapalestina hatuna maana

Unasapoti mpalestina aliyeanza uchokozi na aliyeteka watanzania wenzako??. Yani unamdhamini mgeni kuliko mtanzania mwenzako kisa tu sio mwislamu?. Punguza Unafiki. Hata Palestine Kuna wakristo na makanisa na yalishambuliwa pia.
 
Kwa Sasa IDF wameigawnya Gaza mara mbili. Gaza Kaskazini na Gaza Kusini. Gaza kusini itakuwa na military base ya Israel.

Nadhani mpaka Ijumaa ile stronghold ya Hamas itakuwa imefutwa kabisa na IDF.
GAZA KASKAZINI ITAKUA MILITARY BASE?
 
Israel imewapa njia ya kutokea raia waliopo Gaza Kusini, Sasa wakikazania kubaki wakiuawa wasilalamike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…