Waislamu, nina swali

Waislamu, nina swali

Ili afe kwa sababu alimtukana mungu
Kama ni kweli walisoma wamekosea maana maisha na kifo viko mikononi mwa Allah pekee, na mtu hapaswi kupangia mambo ambayo ni katika mamlaka ya Allah. Badala yake, waumini wanahimizwa kumuombea mtu afya, msamaha wa dhambi, na rehma.
 
Mwaka 2021 alipo kufa kiongozi wa nchi afande sele Alimtukana mungu akina kishki sure kipozeoo wanaojiita mashekhe walimsomeaa dua jee afande alikufaa? Au Allah hana uwezoo
Kwani walimsomea afande ili afe au walimsomea ili kumrehemu?
 
Kama ni kweli walisoma wamekosea maana maisha na kifo viko mikononi mwa Allah pekee, na mtu hapaswi kupangia mambo ambayo ni katika mamlaka ya Allah. Badala yake, waumini wanahimizwa kumuombea mtu afya, msamaha wa dhambi, na rehma.
Kabisa sheikh wangu...kabisa. allahamdulilah leo nimemsoma mtu mwenye ili adhimu ya uelewa kama hii
 
Back
Top Bottom