Waislamu wa Sunni nchini Iran wanabaguliwa na kunyimwa fursa huku wakihesabika kama raia daraja la pili

Propaganda as usual.
Iran inahodhi wakimbizi wa Afghanistan ambao ni SUNNI MAJORITY mbona hawateswi!??
Hata wakimbizi wa Iraq ni SUNNI MAJORITY mbona hawateswi!?
Cheap propaganda kama zinazoendelea Sasa hivi za kuitangaza Tanzania inawa evict Maasai illegally Ngorongoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…