Waislamu wana mpango wa kususa kwenda Hija kuikomoa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia

We jamaa waislam itakuwa wamekula kiboga,,, una chuki sana dhidi yao,,, hicho kikao walikaa lini hao waislam mpaka wapange kutokwenda hija kama si umbea
 
Eti ardhi tukufu!! Emu muda mwingine tuwe serious kidgo jamani.
 
Tuna mfuata Muhammad. Aliyepewa hizo nguzo ndo maana tunaenda makkah kwa mwenye uwezo
Yani huyu huyu Muhammad aliiyekuwa anapaka wanja na hina na kumlamba mdomo na kumnyonya ulimi mwanaume mwenzake al Hussain akiwa uchi msikitini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…