Waislamu wasisitiza Mahakama ya Kadhi

Wimana

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
2,449
Reaction score
718
Wajumbe wa Baraza la Katiba la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, wametaka kipengele cha Mahakama ya Kadhi kiwekwe kwenye Katiba mpya.
"Tunataka kipengele cha Mahakama ya Kadhi kiwekwe Katiba mpya na iendeshwe na kugharimiwa na Serikali," alisema Shehe Kundecha.
Shehe Kundecha alihoji iweje kuwe na Mahakama ya Biashara inayoendeshwa na Serikali, wakati kuna Watanzania wachache ambao ni Wafanyabiashara wana Mahakama yao, kuna ugumu gani kuweka Mahakama ya Kadhi kwa Waislamu?
By Mwananchi, 26.8.13
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…