Nini hichi? Indirect advertisement? Nchi ina mambo mengi ya msingi unaenda kuongelea uchafu kama huo bungeni. Hizi ndio akili za viongozi wengi nchini, zimejaa mavi. Bahati nzuri baadhi wanazo chache za kuzifunika zilizobaki.
Watu kama hawa wanafikaje kwenye nafasi nzito na muhimu kwa maendeleo ya taifa! Au ndio sample nzuri ya kupima hali ya wananchi wote ni viongozi!