Wanajitekenya wenyewe wanacheka wenyewe. Wamesahau kwamba ukiwa muongo yakupasa uwe na kumbukumbu nzuriKwani si wao serikali wanasema hakuna wimbi la nne? Waitara kapata wapi huyo mdudu aliyemuita wa wimbi la nne!!!
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo aliamka na hangover ya konyagi anadai alipata Corona? Huyo ni mlevi mbwa analewa hadi anasusu kwenye sarawili
Waitara ni bange TU SI zani kama atabaki salama
Sisi ni kinga zetu zipo konki mkuu, mimi sijapata hata wimbi mojaMm pia nilipata wimbi la nne. Sijachanja lkn naendelea vizuri.
Au tusiochanja haturuhusiwi kujimwambafai??
Nasikia watoto wa mjini wamemfanyia sana vitu mbaya kule ukonga kwa ulevi wake.Huyo aliamka na hangover ya konyagi anadai alipata Corona? Huyo ni mlevi mbwa analewa hadi anasusu kwenye sarawili
Itabidi kwenye mahojiano yajayo aseme alipata maambukizi akiwa Nchi jirani.Anapingana na waziri mkuu? Kassim majaliwa alitangaza kwamba hakuna wimbi la nne tz.
Naibu waziri Mwita Waitara akiwa Azam amesema alipata Covid ya wimbi la nne na kupona. Waitara amesema kwa kuwa alikuwa amechanja alipata dawa kidogo na kupona.
Pia Waitara ameongelea mabasi ya mikoani kupandisha nauli na kusema sio nguvu ya soda na wako tayari kwa Januari na kipindi cha watoto kwenda shule, amewataka LATRA kukaa kila kona.