Uchaguzi 2020 Waitara: Nimeisambaratisha CHADEMA Ukonga, sasa nahamia Tarime Vijijini

Upo sahihi Waitara ni mtu mbaya sana anatumia madaraka vibaya kukomoa wananchi
 
Babu la Bara nadhani unaupungufu wa muono, hasa kuhusu michango ya wenzako.

Hapa tumezungumzia hali ya kisiasa na uelekeo kwa uchaguzi wa Ubunge Tarime Vijijini. Na michango yangu ilijikita hapo.

Suala la kutoona umuhimu wa maendeleo sehemu husika kwa kuzingatia chama hilo silizungumzii na mimi nilivuka huko miaka mingi mnoo.

Nilichokuwa nasema na ninarudia ni kuwa safari hii Heche ana mtu wa kumshugulisha. Labda unajificha kivulini chini ya chama lakini suala la uchama lazima tukubali ni moja ya vitu muhimu kisiasa kwa wenye kuamini. Fuatilia vizuri koments zangu.
 
Hicho ndo alitumwa na wananchi akifanye Ukonga,mijitu mingine sijui huwa inatumia nini kufikiri
 
mimi ninachoamini wananchi wa tarime wanajua kile wanachohitaji na nani wa kuwatimizia, wao ndio waamuzi siwezi kukaa kwenye vichwa vyao. Wakimchangua yoyote ni sawa sababu ndio hitaji lao na kila chama kina hitajika kuheshimu maamuzi hayo. kama huyo unayesema ana kubarika sawa, haina shida. Siwezi kujiingiza katiaka malumbano ya ccm na cdm au waitara na wengine sababu sijajua hata sera za mwaka huu zipo vipi. Mi niwatakie kila la kheri wote wagombea na wapiga kura. Tz ni yetu haina haja ya kukwamishana sababu ya uchama, ukabila, ujuaji, au udini.
 
Huyu mlevi ajiandae kupika gongo
 
Viroba vimeshamaliza medula oblang'ata, ila kumbuka kuanzia mwaka ujao hutakuwa na cheo chochote.
 
Waitara amesisitiza kuwa haondoki Ukonga kwa sababu anamkimbia mtu, bali amekamilisha kazi ya kukisambaratisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hivyo anakwenda Tarime Vijijini ambako ndipo anapotokea, kufanya kazi hiyo.
Mpuuzi kabisa. Badala ya kuwatumikia wananchi yeye anajinasibu kuisambaratisha CHADEMA? Pumbavu kabisa. Kumbe ndio maana hatuendelei
 
Mtu mzima kusema unasambaratisha upinzani amabao upo kwa mjibu wa katiba ni kutokojitambua. Mheshimiwa Magufuli angalia watu unaowapa uwaziri maana huyu naye kuitwa ni waziri ni shida. Sijui kama kwenye hiyo wizara amesaidia chochote.
Kuifuta CCM sawa lakini kuifuta CHADEMA haliko kwenye katiba.
Huu ni fyatu wa aina. Acha wafutane wote CCM na Chadema. Wewe shangilia timu yako ikishinda Ila usilie kama Yanga.
 
Mpuuzi kabisa. Badala ya kuwatumikia wananchi yeye anajinasibu kuisambaratisha CHADEMA? Pumbavu kabisa. Kumbe ndio maana hatuendelei
Waitara mwita kaenda kupora jimbo siyo kuchaguliwa kwa sanduku la kura itokee kuwepo na uchaguzi huru na haki waitara hawezi kupata hata kura 6
 
Nayeye amesambaratishwa
 
Jinga hili limelaaniwa haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…