Yaani huyu ndiye boya kabisa,yaani kiongozi wa chama unakuwa mwepesi kujikomboa Familia yako?
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, ameweka wazi kuwa uamuzi wake wa kuhama kutoka chama cha upinzani (CHADEMA) na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2018 haukusukumwa na fedha au ushawishi wa kupewa nafasi, bali ulitokana na maridhiano ya kifikra na maono ya maendeleo yaliyokuwa yakitekelezwa na Serikali ya Hayati Rais John Magufuli
Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa na M & S Podcast Agosti 12, 2026, Waitara amebainisha kuwa mabadiliko ya kiutendaji ikiwemo udhibiti wa nidhamu na ubadhirifu yalimshawishi kuchukua hatua hiyo ili kuunga mkono juhudi za ujenzi wa taifa.
Waitara ameongeza kuwa baada ya kuvuka na kujiunga rasmi na CCM mwaka 2018, alipata fursa ya kushiriki uchaguzi mdogo na kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI).
Tena ni zaidi ya uzoobaqaFala tu huyo,alicho haidiwa ndicho alipewa
Kama chawaAlipigiwa simu kama nani hasa kwenye hii nchi?
Sahihi kabisa.Kama chawa
Nilikua simjui vizuri Jana kwenye postcad ya Salma Dakota na mjenga
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, ameweka wazi kuwa uamuzi wake wa kuhama kutoka chama cha upinzani (CHADEMA) na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2018 haukusukumwa na fedha au ushawishi wa kupewa nafasi, bali ulitokana na maridhiano ya kifikra na maono ya maendeleo yaliyokuwa yakitekelezwa na Serikali ya Hayati Rais John Magufuli
Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa na M & S Podcast Agosti 12, 2026, Waitara amebainisha kuwa mabadiliko ya kiutendaji ikiwemo udhibiti wa nidhamu na ubadhirifu yalimshawishi kuchukua hatua hiyo ili kuunga mkono juhudi za ujenzi wa taifa.
Waitara ameongeza kuwa baada ya kuvuka na kujiunga rasmi na CCM mwaka 2018, alipata fursa ya kushiriki uchaguzi mdogo na kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI).
Huu nao ni ujinga Kama ujinga mwingine,kwani akiwa huko,hawezi kuunga Mkono mema, Upinzani SI uadui!