Waitara, umekula ya mbuzi, lazima uote mapembe!

Mkurya Wa dar ni sawa na bashite wakishashiba unyea sahani,awakumbuki kesho wataitumia kulia chakula
 
Amevimbiwa akili na mwili kwa sababu ya siasa za kipumbavu na kujitoa ufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…