waitim wa vyuo wengi wao hawana weredi wa kufanya kazi hivi nani alaumiwe?

waitim wa vyuo wengi wao hawana weredi wa kufanya kazi hivi nani alaumiwe?

ELVINE

Member
Joined
Jun 17, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Napenda kuwashirikisha ndugu zangu katika hili tuache siasa na tusimamie ukweli.
Ninao ushahidi wa kutosha juu ya hili mwanafunzi wa dipl ya nersing hajui hajui hata kutoa first aid kwa mgojwa hata dose ya dawa hajui sio mmoja hii ni mefanya kwa watu 5 tofauti.DR (AMO) hawa nao noma c.o awajui hata mgojwa hanaumwa nini wanaishia kuandika dawa tu kwa mgojwa walimu wanatumia vitabu kufundishia wanafunzi hawaja tambua makosa ya vitabu vyao mpaka Mbatia aseme wala hawaja waikulalamika juu ya hili hizi ni baadhi ya kada ambazo mm nimefanya utafiti
je kwingine kukoje na nani wakulaumiwa?
 
mjomba hata kuandika hujui, hapohapo unakosoa wenzako..uandishi wako unareflect kichwani pia umebeba nini.....
*waitim= wahitimu
*weredi= weledi
*dipl ya nersing=diploma ya nursing
*mgojwa=mgonjwa
*hanaumwa=anaumwa
*hawaja tambua--hawajatambua''one word''
*hawaja waikulalamika= hakuna haya maneno kwenye kamusi
*mm=??? (mimi,mama!!??).....
observe matumizi ya mkato,nukta n.k.

PUNGUZA MAJUNGU, NYIE NDIO WALE MNAOPEWA KAZI KWA KUJUANA "MNAZIBA NAFASI ZA WANAOSTAHIKI" BORA HAO KULIKO WEWE "kuandika kiufasaha tu hujui, utaweza nini sasa mkuu!!!!???''
:....NO HARD FEELINGS,;.DONT TAKE IT PERSONAL...
 
Hii ni kali kudadeki kuandika kwenyewe kiswahili hujui unaponda wenzio tena umechanganya lugha mbili first Aid au huduma ya kwanza..!!!!!!!
 
wewe mwenyewe sina uhakika na elimu yako, aya moja makosa kibao. ukiambiwa kuandika insha si utaishia kuandika matusi?

waitimu?????????????? wahitimu
nersing??????????????? nursing
mgojwa?????????????? mgonjwa
awajui??????????????? hawajui
hanaumwa??????????? anaumwa
 
Back
Top Bottom