Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Pamoja na kupiga ngumi kama cherehani aweza dunguliwa ngumi moja tu hadi kifoGarcia anapiga ngumi cherehani..anashinda hii battle
Ni kweli anapiga ngumi cherehani ila uzuri wa Gervonta ana uwezo mkubwa sana wa kuzuia na ku attack at the same time na accuracy yake ni kubwa.Garcia anapiga ngumi cherehani..anashinda hii battle
Kabisa yani.Bonge fight hii, nategemea kupata burudani nzuri ya ngumi!! Sibet upande wowote hapa!!
Nakubaliana na wewePamoja na kupiga ngumi kama cherehani aweza dunguliwa ngumi moja tu hadi kifo
Waiting is over .Tunatarajia kuona ngumi kali kati ya Gervonta Davis vs Ryan Garcia.
Kila mmoja hapo ana silaha zake muhimu kwa ajili ya kummaliza mpinzani wake.
Gervonta ana ngumi nzito ,ni counter puncher mmoja hatari sana pia ana speed ila sio sana kumzidi Garcia.
Garcia ana speed ,ni mrefu kuliko Tank ila hana ngumi nzito kama Gervonta .
So ni Powerful Punches vs Speed
Wote wana boxing IQ kubwa.
Karata yangu naiweka kwa Gervonta Davis .
Kila la heri Gervonta(Tank) .
Styles makes fight #Enjoy The Sweet Science of boxing#.
Huu mwaka mtamu sana, ukiacha hii tutashuhudia ,devin haney na rimachenko mwezi ujao,tukitoka hapo kuna spence na crawford, mwaka huu wameamua kutupa burudani.
Game ya leo tank anashinda.
Devin Haney na Lomachenko tunaisubiri kwa hamu.Huu mwaka mtamu sana, ukiacha hii tutashuhudia ,devin haney na rimachenko mwezi ujao,tukitoka hapo kuna spence na crawford, mwaka huu wameamua kutupa burudani.
Game ya leo tank anashinda.
Crawford cho.k.o tu kwa Spence .S
Crawford vs Spence kwani ni official, sijasikia, let me check..
Sbb for years, nasikia tu Crawford vs Spence but haitokei.. Ila Crawford ni mtu mwingine kabisa, the best of the best top pound for pound boxer ever..
Dstv Action 210, mapambano ya utangulizi yataanza saa 10 alfajiri.Vip superspot wanaonesha station namba ipi na saa ngap