Kenya 2022 Wajackoya: Sijamuidhinisha Raila Odinga

Kenya 2022 General Election

Willima

Member
Joined
Jul 27, 2022
Posts
26
Reaction score
39
Mgombeaji wa urais wa chama cha Roots George Wajackoya amekana madai kwamba amemuidhinisha mgombea wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga.

Kupitia taarifa ,Wajackoya amedai kwamba video inayosambazwa mitandaoni ikimuinyesha akimuidhinisha Odinga imebadilishwa ili kuwapotosha wafuasi wake .

Amesema bado yupo katika kinyang’anyiro cha kuchukua uongozi wa Kenya .


BBC Swahili
 
Hata atembee uchi hawezi ongoza kenya, akiongoza mniite mbwa nimekaa pale
 
Kwingineko mgombeaji wa urais wa chama cha Roots George Wajackoya amekana madai kwamba amemuidhinisha mgombeaji wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga.

Kupitia taarifa ,Wajackoya amedai kwamba video inayosambazwa mitandaoni ikimuinyesha akimuidhinisha Odinga imebadilishwa ili kuwapotosha wafuasi wake .

Amesema bado yupo katika kinyang’anyiro cha kuchukua uongozi wa Kenya.





Chanzo: BBC Swahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…