Wajameni haya magari ya Idara gani?

Kujua namba za magari si kosa zile unazozifiria wewe zina za kawaida kabisa na tutakaa nazo mtaani bila kuzijua.Wangekuwa hawataki zijulikane wangelibandika za kawaida nami niliwahi kuuliza nikaambiwa ni gari za Tume ya Uchanguzi Tanzania
Hilo jibu hali kidhi.
Tume ni sehemu ya Serikali, kwa nini hawatumii namba zilizosajiliwa kishera ambazo zinaanzia STL..., STK...
 
Zimekuwa nyingi sana recently sijui ni za kina nani mkuu.
Zingine numberplate yake nyeusi.
Ni kweli kabisa.
Za polisi zinajulikana maana ni PT....,
Za Uhamiaji nazo UH...
Hizi sasa utata mtupu.
 
Baba mdogo wangu ni dereva wa tume ya uchaguzi plate namba yake ni ya muundo huo huo!!!Unakuta leo kaja na stk,kesho namba ya kawaida, kesho yake plate kama iyo kwenye picha? But yeye anamuendasha jamaa wa Tume ya Uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…