Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
-
- #21
Tume ya ucgaguzi si serikali?Baba mdogo wangu ni dereva wa tume ya uchaguzi plate namba yake ni ya muundo huo huo!!!Unakuta leo kaja na stk,kesho namba ya kawaida, kesho yake plate kama iyo kwenye picha? But yeye anamuendasha jamaa wa Tume ya Uchaguzi
Yuko wapi sasa hivi Bw. P. ZakariaAmekula tinted, sasa we jipendekeze! Hao wenye magari hayo aliwaweza mtu mmoja tu, Peter Zakaria!
Kwani aliwafanyaje?Amekula tinted, sasa we jipendekeze! Hao wenye magari hayo aliwaweza mtu mmoja tu, Peter Zakaria!
Mbuzi jike ndiyo Tume ya Uchaguzi kama wengine wanavyosema humu?Nashangaa sana.
Mkia wa mbuzi jike unauona bado unauliza tuh.
Yuko wapi sasa hivi Bw. P. Zakaria
Kwani aliwafanyaje?
Ee Mimi ni mgeniWewe ni mgeni hapa Tanzania?
hivi jamaa yupo hai?Amekula tinted, sasa we jipendekeze! Hao wenye magari hayo aliwaweza mtu mmoja tu, Peter Zakaria!
Nadhani bado Yuko gesti ya serikali Kama sija mix identity.hivi jamaa yupo hai?
jamaa ni mbabe haswaa. hahahahahNadhani bado Yuko gesti ya serikali Kama sija mix identity.
Mlio Kanda maalum hebu tujuzeni
Alitoka lkn lile ghorofa pale Mwz alilolinunua kutoka chama cha ushirika ameshalitapika serikalini.Nadhani bado Yuko gesti ya serikali Kama sija mix identity.
Mlio Kanda maalum hebu tujuzeni
Wanatembea na dazeni za plate namba KILA hatua wanabadilishaKujua namba za magari si kosa zile unazozifiria wewe zina za kawaida kabisa na tutakaa nazo mtaani bila kuzijua.Wangekuwa hawataki zijulikane wangelibandika za kawaida nami niliwahi kuuliza nikaambiwa ni gari za Tume ya Uchanguzi Tanzania
So yule bwana alilitaka lile ghorofa nini chanzo cha kumpelekea wasiojulikanaAlitoka lkn lile ghorofa pale Mwz alilolinunua kutoka chama cha ushirika ameshalitapika serikalini.
Gari zisizojulikana zenye plate isiyojulikana rip AzoryGari zenye number hizo hua hazioneshi taarifa zozote za kuhusu hilo gari... Ni kama vile halipo lakini lipo...
Hata TRA taarifa zake huzikuti kwa kutumia hizo number...
Cc: mahondaw
Aliwaweka mtu Kati Ili watahiriwe bila ganzi wakawahi kuomba poo.Kwani aliwafanyaje?
Sasa hata kama mgeni umeshindwa kugoogle kupata taarifa juu ya huyo mtu?Ee Mimi ni mgeni