Ghorofa alikua analimiliki kitambo tu aliuziwa na Chama cha Ushirika lkn serikali ilikua inarudisha mali za ushirika zilizouzwa kiholela,so jamaa nadhani alikua anazingua kuwarudishia.So yule bwana alilitaka lile ghorofa nini chanzo cha kumpelekea wasiojulikana
Wale wasiojulikana taarifa zao still wanapumua au ripGhorofa alikua analimiliki kitambo tu aliuziwa na Chama cha Ushirika lkn serikali ilikua inarudisha mali za ushirika zilizouzwa kiholela,so jamaa nadhani alikua anazingua kuwarudishia.
Chanzo cha kumpelekea wasiojulikana sikijui mzee baba.
Mkuu kama wewe ni dereva wa lori ukikutana nayo njiani yagongeshe, ni watu wabaya sana hao!View attachment 1645419
Nauliza tu!
Maana sizu hizi yamekuwa mengi!
Niuliza tena, hivi namba hizi zipo kule Vehicle Registration TRA?
Siyo nia ya huu mjadala mkuu!Mkuu kama wewe ni dereva wa lori ukikutana nayo njiani yagongeshe, ni watu wabaya sana hao!
Hata wewe unaweza ukaisajiri gari yako kwa jina la Jidu La Mabambasi mradi uwe tayari kulipia.View attachment 1645419
Nauliza tu!
Maana sizu hizi yamekuwa mengi!
Niuliza tena, hivi namba hizi zipo kule Vehicle Registration TRA?
Utaratibu huo naufahamu.Hata wewe unaweza ukaisajiri gari yako kwa jina la Jidu La Mabambasi mradi uwe tayari kulipia.
Good , funguka basi mkuu!TUNA KINGA AMANI...hofu yako nini kijana..!!
Usijali uko kwenye mikono usalama kama ulivyohakikishiwa.Utaratibu huo naufahamu.
Unalipia 5m pale Vehicle Registration TRA.
Magari ya serikali yana utaratibu huo?
Ukikagua vizuri hata Insurance hayana, itakuwa kulipia 5m!
Polisi special taskforce haoNi kweli kabisa.
Za polisi zinajulikana maana ni PT....,
Za Uhamiaji nazo UH...
Hizi sasa utata mtupu.
Hivyo huwa vinajidai viko kwenye task force! Kumbe ni wale jamaa wasiojulikana!Siyo nia ya huu mjadala mkuu!
Uhamiaji UTNi kweli kabisa.
Za polisi zinajulikana maana ni PT....,
Za Uhamiaji nazo UH...
Hizi sasa utata mtupu.
Ha ha ha!Hivyo huwa vinajidai viko kwenye task force! Kumbe ni wale jamaa wasiojulikana!
Google imeshindwa, nisaidie weweSasa hata kama mgeni umeshindwa kugoogle kupata taarifa juu ya huyo mtu?
Kha!kha!kha!,dah.Ninahamu nimjue Huyo mtu.Aliwaweka mtu Kati Ili watahiriwe bila ganzi wakawahi kuomba poo.